Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

Nani kakudanganya kuwa ndoa za kikristo huwa hazivunjiki? Wewe naona hauko serious!!!! Wewe ondoka hapo kaanze upya!!!! Hizo taratibu za kuvunja hiyo ndoa zifanyike ukiwa unaendelea na mambo yako!!!! Ukisubiri kanisani utazeekea hapo hapo na mateso unayoyapitia.
 
Wewe tu hujatqka woii
Na mahakimu wa sikuhizi wanauliza maratatu miezi 3 wakiona no mnamalizana mapema shehee

Kama unataka.kuachana nicheki inbox kuna.mahakama nakupeleka hazitaki kabisa kusikia kesho kapigwa kisu cha makalio na mkewe sijui kachomwa.moto na.mumewe kafukiwa chap mnayamaliza
 
Mkuu nielewe,siyo kila ndoa zina matukio mazito ya kufanana lakini kitu kinapofanywa rahisi sana maana yake nzuri inapotea so wenye matukio hayo wataachanishwa kwa kufuata taratibu then wenye changamoto ndogo ndogo watapatanishwa maisha yaende.

Kanisa Katoliki hutoa hadi semina siku tatu kabla ya ndoa lengo kuwaelimisha wanandoa wapya dhumuni la wao kuungana kwamba siyo kila siku watatawaliwa na furaha zipo pia siku za vurugu so wajue namna ya kuzi-handle.
 
Alichosema ni kurahisisha mchakato talaka kwa kanisa Katoliki inaweza kuchukua hata miaka kumi.
Hata wao wanaangalia uzito wa makosa ndio maana alisema kuna watu wengine kuwalazimisha waishi amoja ni kutengeneza matatizo, hao wa makosa madogomadogo ni kupewa semina na kuendelea kuishi pamoja.
 
Akasema kwa kuandika. Nashauri kutokana ana taarifa iliyofika. Ila nakumbuka nimekulia huko kwenye ndoa iliyokua mama anaambiwa vumilia. How ile kitu iliniumiza imefika mahali uliniambia nichague kuzaliwa tena simchagui yule Mzee.
Nimemsamehe lakini ungenipa nafasi ya kuzaliwa tena asingekua baba yangu. Maana hastahili kwa kweli. Alilelewa na Babu ambae hakuwahi mgusa mke wake hata siku Moja, akawa na kaka ambao hata Kofi tu hawajawahi kunyanyua, yeye alitoa wapi huo mkono? Ah violence isikie tu bro. Leo sipapendi nyumbani kisa matukio ya kukua. Mwache aende kama kadanganya atajua mwenyewe.
 
Nilichojifunza mapenz hayashauriki naxmtu akichoka haombi ushauri utashangaa tu hayupo anaishi maishayake
 
Watu wakishashindwana hata ukisikia upande mwingine haisaidii yeye asepe tu!
Huwa hawaondoki mm rafikiyangu alikuwa na vilio kilasiku na kudaitalaka mwisho nikachoka nikamwambia ukichoka utaondoka mwenyew na aache kulalamika na kuomba usuluhishi kilasehemu ni kujidhalilisha huu mwak wa pili bado yupo


Waondokaji hawaombi ushauri mtu akichoka anaondoka tena bila hata nguo
 
Mwenyewe ndio ninavyojua, sijawahi kusikia mtu anataka kujiua au kuondoka akaomba ushauri! Ni maamuzi ya ghafla sana huwa hashirikishwi mtu hapo! Kama ana nia ni asubuhi au usiku wa manane unaamka kama upo, ni kukiacha au kukibeba kitoto chako mgongoni begi mkononi kirikuu huyoo😂😂
 
Nimekupenda my wii ila wanapenda kutafuta huruma sana mm sikuhiz hapana
kuna dogo alinidhalilisha tunakaa nyumba moja kasema anapigwa na ni kweli nikapata huruma akasema anaondoka amechoka manyanyaso na hatakib tena kuyaongelea nikamwambia nikirudi kazini nitampa nauli aende kwao singida nimerudi jioni penz paja dada 😂😂😂nikasema mm tena 😂😂😂
 
Kabisa huambiw na mtu wala mzee wa kanisa hakuoni tu unaondoka ukiona mtu anaomba ushauri hajafanya maamuzi bado anajitafakari huyo unafanya mchezo na mateso yani ukae sehemu unaona unatak kufa ungoje talaka
 
😹😹😹 Mapenzi hayashauriki, unalishauri baadae likishikwa nyonyo na muhaini mwenzie kiguu dirishani anaanza kuona waliomshauri wote makima..!!
 
😹😹😹 Mapenzi hayashauriki, unalishauri baadae likishikwa nyonyo na muhaini mwenzie kiguu dirishani anaanza kuona waliomshauri wote makima..!!

😂😂Nilipata mshangao na aibu kwa wakat mmoja nikasema ni huyu alokuja kwangu analia au

Sirudii tena mm😀😀
MWingine unashangaa tu mimba unasema ni huyu alosema anaondoka 😂😂
 
Katoliki ndio hawaruhusu talaka kabisa ila kuna makanisa mengine yanaruhusu kutokana na uzinzi/uasherati au mwenza mmoja kumtelekeza mwenzake japo utaratibu ni mrefu na mgumu kidogo.
Hata ndoa za katoliki huwa vinavunjwa vizuri tu.
 
😂😂Nilipata mshangao na aibu kwa wakat mmoja nikasema ni huyu alokuja kwangu analia au

Sirudii tena mm😀😀
MWingine unashangaa tu mimba unasema ni huyu alosema anaondoka 😂😂
Wifi usiwe unajichosha nao waache wakikua wataacha ujinga wenyewe..!! 😹
 
Aliyeoa ni kanisa au ni wewe?

Kwa nini unalipa kanisa nguvu sana kwenye maisha yako?

Acha ujinga.
 
Hizo sheria zimewekwa na binadamu kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…