Ndoa za siku hizi ni majanga

Kupendana kulivyo kutamu..[emoji6][emoji6][emoji6]....
Ila being fake in a relationship nayo inahitaji kipaji.....[emoji854][emoji854][emoji854]
Mara nyingi wanaume tunapomfuata mwanamke huwa tunajua lengo letu ndani ya mioyo yetu.Kutamka nakupenda ni rahisi sana na kumuaminisha mtu,ila je mtu anayeghilibiwa anajua?Huo ndio ufake wenyewe!Mwanamke anaweza kufuatwa na mwanaume anayempenda kwa dhati asimuamini,au anakuwa hana uhakika akampotezea,akafuata na tapeli ambaye anataka kuona tigo yake wakati wa doggy style akamkubali,kumbe linapiga na kusepa baadaye anaolewa na mtu tu kujisitiri,unadhani pana upendo na kuhitaji masomo na mitihani?Wanawake wanabahatisha kujua kama wanapendwa au wanachezewa,sisi tunajua tunapomfuata mtu.
 
Kwahiyo....sisi wadada/wanawake ndio wakulaumiwa?
Kwa mtu aliyekomaa anashindwaje kutambua hapa napendwa na kuamua kutulia?
 
Kwahiyo....sisi wadada/wanawake ndio wakulaumiwa?
Kwa mtu aliyekomaa anashindwaje kutambua hapa napendwa na kuamua kutulia?
Utagundua hupendwi late,ushagegedwa unaona ukitoka ukienda kwa mtu mwingine huku umepotwza muda na kule hujui ndio hayo tena au unapendwa kweli,unajidanganya unafikiri utambadilisha.Amini Mungu kuna umri wa mtu kubadilika ukipita hata ufanyeje habadiliki.
 
Ndoa za Showoffs Mara nyingi huwa hazidumu.
 
muulize jamaaa ndo atakuambia
 
Hakika kabisaah.
 
Kwenye maisha kukiwa na mchangamano wa zaidi ya mtu mmoja ni lazima kunakuwa na kuvumiliana.

Hili ni somo/jambo ambalo wengi hatulipi uzito wa kutosha na kudhani mtu unayeoa/kuolewa naye atakuwa vile unataka/unamtaka awe.

Mwisho wa siku kuna mambo hamtaendana na wakati mwingine ni mambo ya kipuuuzi tu, kama tabia yake ya kupenda kuangalia TV mpaka usiku mnene na mengine kama hayo.
 

Karusiiii nimependa KINGE chako[emoji3]
 
Sahii
 
muulize vizuri rafiki yako,asilimia kubwa ya mizozo kwenye ndoa kwa sasa ni utandawazi...hizi simu zimekuwa shida kubwa sana kwenye mahusiano ni wachache sana watakaosalimika watakapokagua simu za wenzi wao,ukitaka salama,amani na kudumu kwenye mahusiano zama hizi usiguse wala kudukua simu ya mwenzi wako
 

Mkuu hii mbona imekaa muda mrefu kunandoa huwa zinavunjika ndani ya masaa 72 tu.

Ndoa inafungwa ijumaa, J3 imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…