Ndoa za siku hizi ni majanga

Wapo wanaume ambao wako na afya nzuri, pesa, na rijali haswaah, ila hawachepuki, acha kudanganya umma hapa.
 
Unahisi ni vizuri hivyo unavofanya? Inashangaza kwa kweli lol.
 
Kwa mara ya kwanza umeongea point tokea nikujue jina lako......, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mara ya kwanza umeongea point tokea nikujue jina lako......, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sam Sam Sam.🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤫🤫🤫
 


Mkuu igwee frm anambra nataka nikuulize!

Unadhani kwanini watu huamua kuingia kwenye ndoa?maana kama ni starehe za kwenye ndoa wanaweza kuzipata nje ya ndoa lakini kwanini waishie kwenye viapo?huoni kama kuna la ziada hapo?

Personally,simu yangu na ya mke wangu password tumeweka zinazofanana muda wowote nikitaka kushika simu yake au akitaka kushika simu yangu hakuna simile nashika/anashika nimempa hadi uhuru kama simu ikapigwa nipo mbali pokea elekeza anitafute kwa namba nyengine au ajibu atakavyoona inafaa.ukishaamua kuowa amua kweli kuowa unapotaka mkeo awe muwazi kwako na wewe vaa uhusika kuwa muwazi kwake hii theory imenisaidia sana kwenye maisha yangu ya ndoa.

Na huu ndo umekuwa mtego mbaya kwa ndoa za kisasa,mume kuanzia dialing,msg,w'app kajaza passwords tofauti tofauti mke nae hayupo nyuma naye kafanya hivyo hivyo simu ikiita mnatizamana kwanza unadhani kutakuwa na ndoa hapo!hayo ni maigizo.
 
Sir wewe "............. umeonyesha una mapungufu mengi ya kiumeni, pole sana... wewe si mwenzetu?
 
Nimewaza tu.....tunahitaji somo juu ya maisha ya ndoa mashuleni/vyuoni....mtihani wake....ni Ndoa yako....ukifeli...rudia somo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilivyokua Advance mwalimu wetu wa biology alitenga siku moja kwa week kutufundisha kuhusu mahusiano na ndoa, na mara nyingi alitumia ndoa yake kama mfano.Walikua wanapendana sana na mke wake.
 
Nilivyokua Advance mwalimu wetu wa biology alitenga siku moja kwa week kutufundisha kuhusu mahusiano na ndoa, na mara nyingi alitumia ndoa yake kama mfano.Walikua wanapendana sana na mke wake.
Natumaini na wewe umefuatilia/utafuatilia nyayo zake.
 
Sir wewe "............. umeonyesha una mapungufu mengi ya kiumeni, pole sana... wewe si mwenzetu?
Kwa dhambi ya uzinzi acha nisiwe kama nyie ila kwengine kote naamini nimefit vizuri!

Umehalalisha uzinzi kuwa sehemu ya ndoa yako siku mkeo akiiga na kukuletea maradhi ndani usimtafute mchawi,obviously utasema nitaachana naye ila ukitaka kujenga familia bora lazima uanze na msingi mama wa familia ambao ni ndoa baba na mama!

Mkuu unisemehe sikufundishi,ila mimi ndivyo navyoamini.
 
Mbona mnajiuliza maswali mengi wakati jibu ni rahisi tu?
Ndoa inahitaji “kujitoa” ili umpende mtu kwa mapungufu yake, sio kwa ukamilifu wake. Ili mradi tu mapungufu hayo isiwe ni zinaa au uasherati. Maana haya hata Biblia (kwa wanaoamini imani ya Kikrito) imerudu ndoa ivunjike. Hii ni kuthibitisha yote yanavumilika na kusameheka ila hilo unaruhusiwa kutosamehe na kuvunja ndoa.

Mtu ukiweza kumpenda mkeo au mumeo kupitia udhaifu wake unaouona, na ikawa hivyo kwa pande zote mbili, amini kuwa mtaishi muda mrefu pamoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu much know
Iyo much know ndo inamfanya mtu ang'atwe na nyigu ,sipendi majibu ya hovyo mkuu basi tuu.Ila kuhusu ndoa simshauri mtu achague mwenyew kumeza bomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…