Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

Umeshawahi kuona mtu mwenye wake wengi ambao wake hao pamoja na watoto wao wanapendana na kuelewana?
Nina wake wawili wa ndoa na watoto wawili. Wake zangu wanapendana sana hadi natamani niwagombanishe ili wasiwe na umoja pale ninapowakosea.

Tunaishi kwa furaha sana na hivi karibuni naongeza mke wa tatu. Huyu ninayemuoa mke wa tatu anajua vizuri kama nina wake wawili wala hajali yupo tayari kuunga tela.

Huwa najiuliza hivi mwanaume mwenye mke mmoja kama mguu wa jini anapataje furaha ya ndoa?

Mama mzazi ndiye anatakiwa awe mmoja lakini mke lazima awe zaidi ya mmoja inachochea hata maendeleo mfano mzuri ni kwangu wanapambana kila mmoja kuleta maendeleo ya familia.
 
Kwanza Nina Shaka na uislamu wako!!!
Lakini sishangai Kama ulivyo sema umetetereka kiimani bado kutangaza tu umekufuru dini...
Hoja nzuri sana ulizomjibu nazo.

Watu tuna wake zaidi ya mmoja na maisha yanasonga vizuri kabisa wala hatuna hata stress tofauti na wenye mke mmoja tunashuhudia kila mara wanamwagana.
 
Kwanza Nina Shaka na uislamu wako!!!
Lakini sishangai Kama ulivyo sema umetetereka kiimani bado kutangaza tu umekufuru dini...
Kwamba Mungu Muumba anajali sana hisia za nyege (ashakum) za mwanaume mpaka kamuwekea utaratibu wa kuzibadilisha Kama Haji Manara kisa tu uwezo anao?!

Kwamba wanaume wako exempted na dhambi kiasi kwamba suala la uadilifu na uaminifu kwa mtu mmoja kufa na kuzikana haliwagusi?!

Mleta mada yuko sahihi kwenye suala la ndoa nyingi za mitala husababisha mpalanganyiko wa family na hatimae jamii na kuathiri mpaka Taifa.
 
Nina wake wawili wa ndoa na watoto wawili. Wake zangu wanapendana sana hadi natamani niwagombanishe ili wasiwe na umoja pale ninapowakosea...

Thubutu yako!

Wake wawili wa kuchonga?!

Sema una michepuko wadangaji umewapa pa kupumzikia wachume mafao yao kupitia watoto wanaokuzalia.

Mnaharibu jamii kwa kukojoa hovyo Kama majogoo pori na bado mnawatelekeza!
 
jibu swali kwanini Allah akuweka usawa kwa wanawake ambao hawaridhiki na ndoa zao na wao waende kufurahia nje kama wanavyofanya wanaume?
Hilo hawezi kukujibu akikujibu mimi najitoa JF HUONI ALICHO JIBU [emoji3][emoji3] amekimbilia wake wa Yakobo[emoji16]

Angesoma KISA cha Yakobo angeelewa kwamba Yule Leah Yakobo alisakiziwa Yakobo alivyo fika kwa Labani MKE ALIE CHAGUA NI MMOJA TU NAE NI RAHELI Mdogo Wake LEAH

Asili Ya Mkristo yoyote ni mke mmoja tu nje ya hapo unajitafutia matatizo tu mfano mzuri ni Ibrahim na Sarah Ibrahim alikomaa na Sarah mpaka uzeeni tena bila MTOTO. Mpaka akasakiziwa hajiri yule kijakazi [emoji16]

UKIOA MWANAMKE ZAIDI YA MMOJA JUA UMEKARIBISHWA KUROGWA KILA MTU ATAVUTIA KWAKE ILI APENDWE NA MUMEWE [emoji3]
 
Thubutu yako!

Wake wawili wa kuchonga?...
Ndio maaana memuuliza hao wanawake unalala nao na kuishi nao nyumba moja.

Hakuna mwanamke atakayefurahia mume wake awe na mwanamke mwingine hayupo, ndoa za wake wengi ni kuumiza hisia za mwanamke na kumfurahisha mwanaume.

Kama anataka kuamini alale nao chumba kimoja na akae nao chumba kimoja aone shuguli yake
 
Hilo hawezi kukujibu akikujibu mimi najitoa JF HUONI ALICHO JIBU [emoji3][emoji3] amekimbilia wake wa Yakobo[emoji16]

Angesoma KISA cha Yakobo angeelewa kwamba Yule Leah Yakobo alisakiziwa Yakobo alivyo fika kwa Labani MKE ALIE CHAGUA NI MMOJA TU NAE...
yaaani kama mlevi anachojibu cha mbele anapeleka nyuma na cha nyuma analeta mbele kashindwa kujibu
 
Mleta mada amewaambia kumbukeni na kwenye malezi sio kupiga mabao tu eti “tunaonjoi “
Mabao tunapiga na malezi tunatoa kulingana na hali zetu. Yeye asitushauri kwani kila mtu ana mipango yake. Asichukulie maisha ya familia yake ndio akafanya rejea ya maisha ya kila mtu. Ndoa zote zina changamoto hata hizo za mke mmoja.

Mara ngapi tunashuhudia watu wenye mke mmoja wametelekeza familia? Kwahiyo tuwashauri watu wasioe kisa kuna mtu hamtunzi mkewe au katelekeza familia? Mtoa mada ni mmoja wa watoto waliomezeshwa sumu na mama zao ili kuwachukia baba zao. Atuache na maisha yetu.
 
Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana...​
wewe ni MUISLAM mwenye akili mingi sana jamaa!!!"nenda kwa mpemba mwambie akupimie UROJO naja lipa mzee!!" kiuhalisia, hapa Tanzania au niseme hapa DSM,kuna wakati ata wewe mwenyewe unajishindwa,,,namaanisha nini kwa kusema kujishindwa? ninamaanisha kuna wakati wewe mwenyewe unaua winga,,,yaani wewe mwenyewe mahitaji yako mwenyewe kama kula,kulala na kujitibu ni issue,,,sasa unakuta m2 ana wake 4 watoto 16,,,then kazi yake kubwa si kutafuta pesa,kazi kubwa ni kuingia msikitini na kutoka mara 5 kwa siku!!!!!!kweli ataenda MBINGUNI huyu?

Unajifanya bize kusali alafu watoto wako unawapa shida ya NJAA!!! kwanza ata wewe wakati wa swala akili yako haipo kwa ALLAH na kama ipo kwa ALLAH swala yako siku zote ni kuomba muujiza wa kujikimu na kulalamika{sikatai wala sisemi kwenda msikitini ni dhambi,,hapana,ila unaendaje wakati umejitengenezea mateso ya kujitakia}.

Yaani wewe miaka yako yote ni kuingia kwenye milango ya wake zako kwenda kuwashuhulikia,ukitoka kwa AMINA unaenda msikitini,ukitoka msikitini unaingia kwa MARIAM, ukitoka kwa MARIAM,unarudi msikitini,ukitoka msikitini unaingia kwa ZINDUNA,Ukitoka kwa ZINDUNA unarudi msikitini, ukitoka msikitini unamalizia kwa MAIMUNA!!!!! da!!! mboo ingekuwa kama pipi kifua uingeisha man!!! da!!! bize kinomanoma!!!!
 
Mabao tunapiga na malezi tunatoa kulingana na hali zetu. Yeye asitushauri kwani kila mtu ana mipango yake. Asichukulie maisha ya familia yake ndio akafanya rejea ya maisha ya kila mtu. Ndoa zote zina changamoto hata hizo za mke mmoja.

Mara ngapi tunashuhudia watu wenye mke mmoja wametelekeza familia? Kwahiyo tuwashauri watu wasioe kisa kuna mtu hamtunzi mkewe au katelekeza familia? Mtoa mada ni mmoja wa watoto waliomezeshwa sumu na mama zao ili kuwachukia baba zao. Atuache na maisha yetu.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom