Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

nilijaribu kukuonyesha hicho unachosema mungu kakiweka kwamba ndio sahihi, lakini tunayaona katika jamii zetu wenye wake watatu na wanashikwa ugoni, wanazalisha watoto wadogo.
Sijui umeelewa point?
Kwahiyo unadhani watu wanaooa wanawake 4 hiyo sheria waliitoa wapi?
 
Hatuwezi kuzungumza hii mada bila kuwarejea manabii na mitume wa mungu kwamba kipi walikifanya na kipi hawakukifanya
jibu swali kwanini Allah akuweka usawa kwa wanawake ambao hawaridhiki na ndoa zao na wao waende kufurahia nje kama wanavyofanya wanaume?
 
Unaposema kutoridhika na ndoa unamaanisha nini?
kwani wanawake wote wanafurahia ndoa zao? Mbona wapo wanaochepukaau weee huoni?
Hilo linaamanisha hawafurahii hivyo wanahitaji faraja sehemu nyimgine kwanini hawakuweka uhuru wa kwenda na wenyewe kuongeza mwanaume?
 
Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa Imani ambao nilikuwa na waamini sana ila mwisho wa siku wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya Dini.

Katika dini zote tunaamlishwa kufanya mema na kukatazwa kufanya mabaya hivyo sipingani na Imani ya mtu wowote hata kama Hana dini kama afanyi mabaya huyo ni mtu wa Mungu.

Kwenye dini yetu ya kiislam Kuna maamrisho mengi sana mema Ikiwemo.

√Kusaidia Yatima
√kuwasaidia wazazi
✓kusaidia wenye huitaji
√kutoa sadaka
✓kufuturisha kwa waliofunga mwezi mtukufu.

Hizo ni baadhi. matendo mema ya sisi waislam yamegawanyika kwenye makundi mawili.

1. Faradhi

2. Sunna

Ili swala la kuoa lipo kwenye kundi la kwanza la faradhi. Ila ili ndoa iwe ndoa Kuna misingi ya kuzingatiwa.

Muhtadha wa andiko langu upo kwenye hizi ndoa za wake Zaidi ya mmoja. Ambayo Mimi naiweka kwenye kundi la sunna maana imeandikwa kuwa "muoe wake Hadi wanne kama mna uwezo".

Hivyo usipo oa wake wengi sio dhambi ila kikubwa ni lazima uwe na uwezo.

Ndoa za wake wengi Kwa nchi yetu changa kiimani, changa kimaendeleo na changa ki uelewa HAZIFAI.

Wenzetu WAarabu wanaouweza wa kuoa Zaidi ya wake mpaka wa 4 kwasababu wanao uwezo kipesa na dini imeanzia Kwao hivyo wanauelewa mpana sana wa Hilo swala.

Watanzania wengi vipato vyetu ni vya kawaida sana hivyo kuoa wake wengi ni sawa na kuipa familia UMASIKINI wa kujitakia.

Kwenye andiko langu hili

Najuta kumtia umasikini Mama yangu

Wachangiaji wengi walinilalamikia kuwa kwanini andiko lote hakuna sehemu nimemtaja baba😭🙆😭🙆

Mimi nimelelewa na wazazi wote wawili baba na mama na Nina mshukuru Mungu sana wazazi wangu wote Bado wapo hai na wanaishi pamoja.

Kitu kilichopelekea nisimgusie mzazi wangu wa kiume kwenye andiko langu la awali ni ile hali ya yeye kuwa na wanawake wengi. Najua nakosea Kwa Mila zetu kuzungumza hivi ila mtanisamehe sizungumzi Kwa Nia mbaya.

Kwa uwezo wa kiTanzania kuanzia cheo cha mkuu wa mkoa kushuka chini awana uwezo wa kumudu kuhudumia wanawake Zaidi ya mmoja.

Hizi ndoa zinaleta mateso makubwa sana Kwa watoto na Huwa zinaleta matabaka sana. Kuna familia Moja kati ya hizo itajaaliwa. Harafu itaona kama inapendelewa.

Kuishi bila kupendelea haiwezekani hivyo Kuna mke atapendelewa yeye na watoto Wake. Hapo ndipo balaa litapoanza kujitokeza.

Baba yangu Kwa nafasi aliyokuwa nayo alikuwa na uwezo wa kuhakikisha watoto Wake wote wanasoma na kupata kazi endapo angekuwa na familia Moja.

Ila Hilo ameshindwa kulifanya kwasababu ya kuhusudu ndoa za wake wengi kitu kilichopelekea baadhi ya watoto kutelekezwa. 😭😭😭

Waliosema ndugu zako wa kweli ni watoto wako wa kuwazaa hawakukosea ila sio watoto wawe wengi kupita kiasi.

Kibinaadam ukiwa na watoto 3 au 4 hivi wanatosha sana. Sasa unakuta mfanyakazi analipwa milioni 1. Ana wake Zaidi ya 4 ana watoto 16. Huku ndugu zake dada, kaka na wadogo zake wote wanamtegemea mtu kama huyu anaweza kweli kuwasaidia watoto Wake.

Ifike kipindi serikali itoe tamko baadhi ya maandiko ya Dini yazingatiwe yasifuatwe kwani yanadhalisha kizazi chenye chuki na visasi na kulirudisha Taifa nyuma😭😭😭

NAPINGA NDOA ZA WAKE WENGI.​
Nilipoona umeandika "imani yangu imetetereka baada ya kuona watu nilikuwa nawaamini wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya dini" sasa wewe unawafata watu au maandiko? Pili kwenye uislam kiigizo chetu ni mtume Muhhamad na sio watu wengine KILAZA WEWE.
 
kwani wanawake wote wanafurahia ndoa zao? Mbona wapo wanaochepukaau weee huoni?
Hilo linaamanisha hawafurahii hivyo wanahitaji faraja sehemu nyimgine kwanini hawakuweka uhuru wa kwenda na wenyewe kuongeza mwanaume?
Kwahiyo kwa mtazamo wako kuchepuka maana yake ni kwamba hafurahii ndoa?
 
Sidhani kama wapo na kama wapo upendo wao Huwa wakinafki baraaa hujitokeza baada ya baba Yao kufa ndio utajuta hujui. Kila mtu ataanza kuionyesha sasa rangi yake harisi... 😭😭😭​
Nimeshaona watoto wa baba mmoja mama mmoja wanagombea mali, watu wenye dini hukuti wanagombea mali
 
Kwahiyo kwa mtazamo wako kuchepuka maana yake ni kwamba hafurahii ndoa?
ndio ni sababu mojawapo,
Na huwa wanaongea hivyo mtaani tunaishi na wanawake wa hivyo labda kama wewe hujichanganyi
kama mtu yupo kwenye furaha kwanini aanze kuhangaika?
Embu jibu wewe kwanini achepuke na yupo sehemu yenye furaha na amani tele?
 
ndio ni sababu mojawapo,
Na huwa wanaongea hivyo mtaani tunaishi na wanawake wa hivyo labda kama wewe hujichanganyi
kama mtu yupo kwenye furaha kwanini aanze kuhangaika?
Embu jibu wewe kwanini achepuke na yupo sehemu yenye furaha na amani tele?
wewe umewahi kushika mimba?
 
mama yako alitombwa na akashika mimba.
Jibu swali sasa tuendelee
Unaona umejibu hivyo kwasababu unajua wazi mwanamke ameumbwa hivyo kwamba yeye anaolewa,anabeba mimba,anakojolewa,analipiwa mahari na sio yeye kulipa mahari na anapofika nyumbani kwa mwanaume yeye ni msaidizi na sio kichwa cha nyumba
 
Unaona umejibu hivyo kwasababu unajua wazi mwanamke ameumbwa hivyo kwamba yeye anaolewa,anabeba mimba,anakojolewa,analipiwa mahari na sio yeye kulipa mahari na anapofika nyumbani kwa mwanaume yeye ni msaidizi na sio kichwa cha nyumba
bado haujajibu.
Kama kweli wao ni wahivyo kwanini wanatoka na kwenda kutafuta furaha nje? Yaani nado unakimbia swali jibu swali.
 
Back
Top Bottom