Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe baki na mkeo usitupangie maisha. Sisi tuna wake zaidi ya mmoja na tunainjoi maisha kama kawaida.soma nilichoandika vzuri,
Hao wote walikuwa na uwezo na mamlaka, unaoa wanawake watatu unaweza kuwahudumia?tumia akili mpumbavu wewe unataka kujifananisha na hao manabii?
Halafu kingine hakuna mwanamke anayefurahia kuona mume wake ana mwnamke mwingine, kama unabisha hilo waoe lala nao kitanda kimoja au waweke nyumba moja, na wakikaa kwa upendo umeoa malaya wanaotaka pesa zako.
Tumia akili mpumbavu wewe kuliko kuona mtu fulani alifanya nn
mimi sina shida kaka,Wewe baki na mkeo usitupangie maisha. Sisi tuna wake zaidi ya mmoja na tunainjoi maisha kama kawaida.
HakunaUmeshawahi kuona mtu mwenye wake wengi ambao wake hao pamoja na watoto wao wanapendana na kuelewana?
MmhNdio sisi tupo watoto 17 kwa baba na tunaelewana vizuri sana
Anajifurahisha tu huyo😂😂 tena afrika hii!Mmh
Kwamba wote mnaelewana???
mkuu ya kweli haya?Algeria ndoa za mke zaidi ya mmoja haziruhusiwi.
Kuelewana kupo japo sio kwa wote na hii ipo hata kwa waliozaliwa baba mmoja na mama mmojaMmh
Kwamba wote mnaelewana???
Jakaya mrisho kikweteUmeshawahi kuona mtu mwenye wake wengi ambao wake hao pamoja na watoto wao wanapendana na kuelewana?
suleimani alikuwa na wanawake wanne?Wewe ni mkristo sijui unabisha nini haya nikuulize swali waislamu wanaoa wanawake wanne kwa muongozo upi?
Alikuwa na zaidi ya wanne ila alipokuja Mohammad kukamilisha dini akaweka ukomo kuwa mwisho kuoa ni wanawake 4 tu na hilo ni agizo alilopewa na Mungusuleimani alikuwa na wanawake wanne?
kwahyo mungu alibadili mawazo? Akaona kwamba sulemani hakufanya sawa?Alikuwa na zaidi ya wanne ila alipokuja Mohammad kukamilisha dini akaweka ukomo kuwa mwisho kuoa ni wanawake 4 tu na hilo ni agizo alilopewa na Mungu
Nijibu wewe ni dini gani? Kwasababu isije nabishana na mkristokwahyo mungu alibadili mawazo? Akaona kwamba sulemani hakufanya sawa?
Suala la kuoa wanawake wanne ilikuwa kupunguza tamaa ya mwanaume, japo wapo masheikh wana wake watatu mtaani lakini wanalala na vitoto vya miaka18.
mantiki ni uwe na uwezo wa kuwahudumia, huwezi ku mlimit mtu kama elon musk tajiri wa kwanza awe na wake wanne wakat ana uwezo wakuhudumia wanawake hata10. Na zaidi kama ilivyo kwa suleimani.
Lakini suala la wanawake wengi ni mfumo dume tu ambao unamnufaisha mwanaume kihisia kuliko mwanamke, hilo ni jambo lipo wazi, hakuna mwanamke anayependa kuona mwanaume wake yupo na mwanamke mwingine ila hawana namna, kama wewe ambavyo hutaki kuona mwanamke uliye nae yupo na mwanaume mwingine.
Kwenye uislamu hata uwe na pesa kiasi gani haitakiwi uzidi wannekwahyo mungu alibadili mawazo? Akaona kwamba sulemani hakufanya sawa?
Suala la kuoa wanawake wanne ilikuwa kupunguza tamaa ya mwanaume, japo wapo masheikh wana wake watatu mtaani lakini wanalala na vitoto vya miaka18.
mantiki ni uwe na uwezo wa kuwahudumia, huwezi ku mlimit mtu kama elon musk tajiri wa kwanza awe na wake wanne wakat ana uwezo wakuhudumia wanawake hata10. Na zaidi kama ilivyo kwa suleimani.
Lakini suala la wanawake wengi ni mfumo dume tu ambao unamnufaisha mwanaume kihisia kuliko mwanamke, hilo ni jambo lipo wazi, hakuna mwanamke anayependa kuona mwanaume wake yupo na mwanamke mwingine ila hawana namna, kama wewe ambavyo hutaki kuona mwanamke uliye nae yupo na mwanaume mwingine.
Ni sahihi. Kwa jinsi ninavyoona lile puuzi lililodanganywa na mashehe wa BAKWATA Morogoro kuwa hakuna mwanamke anayekubali au kuruhusu mme wake kuoa mwanamke mwingine bila kurogwa naye akamloge yule Dada ili aoe wanawake 3, akiwemo yule Polisi toka Musoma Anna John na jinsi anavyomnyanyasa yule Dada wa watu aliyekuwa mke wake anasikitisha sana. Umesema sahihi kabisa.kwahyo mungu alibadili mawazo? Akaona kwamba sulemani hakufanya sawa?
Suala la kuoa wanawake wanne ilikuwa kupunguza tamaa ya mwanaume, japo wapo masheikh wana wake watatu mtaani lakini wanalala na vitoto vya miaka18.
mantiki ni uwe na uwezo wa kuwahudumia, huwezi ku mlimit mtu kama elon musk tajiri wa kwanza awe na wake wanne wakat ana uwezo wakuhudumia wanawake hata10. Na zaidi kama ilivyo kwa suleimani.
Lakini suala la wanawake wengi ni mfumo dume tu ambao unamnufaisha mwanaume kihisia kuliko mwanamke, hilo ni jambo lipo wazi, hakuna mwanamke anayependa kuona mwanaume wake yupo na mwanamke mwingine ila hawana namna, kama wewe ambavyo hutaki kuona mwanamke uliye nae yupo na mwanaume mwingine.
Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa Imani ambao nilikuwa na waamini sana ila mwisho wa siku wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya Dini.
Katika dini zote tunaamlishwa kufanya mema na kukatazwa kufanya mabaya hivyo sipingani na Imani ya mtu wowote hata kama Hana dini kama afanyi mabaya huyo ni mtu wa Mungu.
Kwenye dini yetu ya kiislam Kuna maamrisho mengi sana mema Ikiwemo.
√Kusaidia Yatima
√kuwasaidia wazazi
✓kusaidia wenye huitaji
√kutoa sadaka
✓kufuturisha kwa waliofunga mwezi mtukufu.
Hizo ni baadhi. matendo mema ya sisi waislam yamegawanyika kwenye makundi mawili.
1. Faradhi
2. Sunna
Ili swala la kuoa lipo kwenye kundi la kwanza la faradhi. Ila ili ndoa iwe ndoa Kuna misingi ya kuzingatiwa.
Muhtadha wa andiko langu upo kwenye hizi ndoa za wake Zaidi ya mmoja. Ambayo Mimi naiweka kwenye kundi la sunna maana imeandikwa kuwa "muoe wake Hadi wanne kama mna uwezo".
Hivyo usipo oa wake wengi sio dhambi ila kikubwa ni lazima uwe na uwezo.
Ndoa za wake wengi Kwa nchi yetu changa kiimani, changa kimaendeleo na changa ki uelewa HAZIFAI.
Wenzetu WAarabu wanaouweza wa kuoa Zaidi ya wake mpaka wa 4 kwasababu wanao uwezo kipesa na dini imeanzia Kwao hivyo wanauelewa mpana sana wa Hilo swala.
Watanzania wengi vipato vyetu ni vya kawaida sana hivyo kuoa wake wengi ni sawa na kuipa familia UMASIKINI wa kujitakia.
Kwenye andiko langu hili
Najuta kumtia umasikini Mama yangu
Wachangiaji wengi walinilalamikia kuwa kwanini andiko lote hakuna sehemu nimemtaja baba😭🙆😭🙆
Mimi nimelelewa na wazazi wote wawili baba na mama na Nina mshukuru Mungu sana wazazi wangu wote Bado wapo hai na wanaishi pamoja.
Kitu kilichopelekea nisimgusie mzazi wangu wa kiume kwenye andiko langu la awali ni ile hali ya yeye kuwa na wanawake wengi. Najua nakosea Kwa Mila zetu kuzungumza hivi ila mtanisamehe sizungumzi Kwa Nia mbaya.
Kwa uwezo wa kiTanzania kuanzia cheo cha mkuu wa mkoa kushuka chini awana uwezo wa kumudu kuhudumia wanawake Zaidi ya mmoja.
Hizi ndoa zinaleta mateso makubwa sana Kwa watoto na Huwa zinaleta matabaka sana. Kuna familia Moja kati ya hizo itajaaliwa. Harafu itaona kama inapendelewa.
Kuishi bila kupendelea haiwezekani hivyo Kuna mke atapendelewa yeye na watoto Wake. Hapo ndipo balaa litapoanza kujitokeza.
Baba yangu Kwa nafasi aliyokuwa nayo alikuwa na uwezo wa kuhakikisha watoto Wake wote wanasoma na kupata kazi endapo angekuwa na familia Moja.
Ila Hilo ameshindwa kulifanya kwasababu ya kuhusudu ndoa za wake wengi kitu kilichopelekea baadhi ya watoto kutelekezwa. 😭😭😭
Waliosema ndugu zako wa kweli ni watoto wako wa kuwazaa hawakukosea ila sio watoto wawe wengi kupita kiasi.
Kibinaadam ukiwa na watoto 3 au 4 hivi wanatosha sana. Sasa unakuta mfanyakazi analipwa milioni 1. Ana wake Zaidi ya 4 ana watoto 16. Huku ndugu zake dada, kaka na wadogo zake wote wanamtegemea mtu kama huyu anaweza kweli kuwasaidia watoto Wake.
Ifike kipindi serikali itoe tamko baadhi ya maandiko ya Dini yazingatiwe yasifuatwe kwani yanadhalisha kizazi chenye chuki na visasi na kulirudisha Taifa nyuma😭😭😭
NAPINGA NDOA ZA WAKE WENGI.
kila kitu kina faida na hasara, lakini wapo watu waliooa wanawake watatu lakini bado matendo yao si ya kumpendeza mwenyez mungu ila wapo pia waliooa wametulia vzuri.Kwenye uislamu hata uwe na pesa kiasi gani haitakiwi uzidi wanne
Vipi allah hajasema nao wanawake waolewe na wanaume wangapi ili nao wapate starehe au furaha huko nje kama wanakosa furaha kwa wake zao? Huoni kama allah ni muonevu na anakandamiza bila kuheshimu hisia za wanawake? Mungu gani muonevu kwa wanawake na amewachukulia wanawake kama chombo cha starehe kwa wanaume.Kwenye uislamu hata uwe na pesa kiasi gani haitakiwi uzidi wanne