X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #21
sawa mkuu nimekuelewa 🤣🤣🤣Kwanza Nina Shaka na uislamu wako!!!
Lakini sishangai Kama ulivyo sema umetetereka kiimani bado kutangaza tu umekufuru dini.
Majibu kwa hoja zako kuu.
1.ndoa za mitala hazifai kwa sababu za kiuchumi!.
Dini imesema uoe ukiwa na uwezo sio uoe tu Kisha watu wateseke na uwezo Ni khaswa kiuchumi na kiafya(nguvu za kiume),manake kiuchumi kulingana na Sheria ya dini Ni uweke usawa mke mmoja ukimnunulia gari bc na mwengine lazima umnunulie tofaut na hvyo unapata dhambi Mana inakuwa haufanyi uadilifu ,vivyo hvyo katika kula,mavazi n.k
💥Hvy usilaumu dini kuweke hii Sheria Mana lengo Ni kuepusha zinaa Mana mwanaume Ni MTU wa matamatio Sanaa, mlaumu baba yako kwa kutofuata Sheria kikamilifu manake hakukidhi vgezo vya kuoa wake wengi.
2.Ndoa za mitala hazifai kweny nchi zetu.
Huo Ni uongo mkubwa unataka uniambie hzi nchi watu wenye Ela hamna ama Ni vp? .
Na katika dini uwezo unaangaliwa katika mahtaj muhmu ya kibinadamu malazi,malazi, chakula n.k, uwezo c kumiliki mabilioni.
💠Wew unapinga ndoa hzo kwa chuki bnafc hyo Sheria imewekwa kwasababu Kama hz:
1.mwanaume kukaa na mke mmoja Ni ngumu lazma atmchoka kihisia c kimapenzi hvy atatamani nje ,so dini imemkataza znaa manake atateseka ndo mana akafanyiwa wepec kwa kuoa Zaid ya mke mmoja.
2.wanawake Ni wengi kuliko wanaume SKU zote Kuna wengne Ni wajane,wametelekezwa inategemea Nani awao?(lengo kubwa la dini Ni kupinga znaa).
ACHA CHUKI NA DINI ZA WATU ,MLAUMU BABA YAKO KWA KUTOKIDHI VIGEZO VYA KUOA WAKE WENGI
japo nilicho kimaanisha umekielewa na kukifafanua vizuri...!