The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
mkuu samahani naomba unielekeze vizuri hii habari?Ni sahihi. Kwa jinsi ninavyoona lile puuzi lililodanganywa na mashehe wa BAKWATA Morogoro kuwa hakuna mwanamke anayekubali au kuruhusu mme wake kuoa mwanamke mwingine bila kurogwa naye akamloge yule Dada ili aoe wanawake 3, akiwemo yule Polisi toka Musoma Anna na jinsi anavyomnyanyasa yule Dada wa watu aliyekuwa mke wake anasikitisha sana. Umesema sahihi kabisa.
Mungu amsaidie yule Dada.
Kweli nimetamani kujua lakini sijaelewa au sikuisikia nieleweshe mkuu