The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Nishaona familia za kiislamu zikigombea mali na nilishaona familia za kikristo zikigombea mali tena baba mchungaji.Wacha Mungu
Nina wake wawili wa ndoa na watoto wawili. Wake zangu wanapendana sana hadi natamani niwagombanishe ili wasiwe na umoja pale ninapowakosea.Umeshawahi kuona mtu mwenye wake wengi ambao wake hao pamoja na watoto wao wanapendana na kuelewana?
Hao wanawake wanakaa nyumba moja?Nina wake wawili wa ndoa na watoto wawili. Wake zangu wanapendana sana hadi natamani niwagombanishe ili wasiwe na umoja pale ninapowakosea...
Hoja nzuri sana ulizomjibu nazo.Kwanza Nina Shaka na uislamu wako!!!
Lakini sishangai Kama ulivyo sema umetetereka kiimani bado kutangaza tu umekufuru dini...
Hayo yapoNani kakudanganya hivyo huku kwetu mtu anamfanya mwanae msukule sembuse mtu eti ulizaliwa nae tumbo moja
Kwamba Mungu Muumba anajali sana hisia za nyege (ashakum) za mwanaume mpaka kamuwekea utaratibu wa kuzibadilisha Kama Haji Manara kisa tu uwezo anao?!Kwanza Nina Shaka na uislamu wako!!!
Lakini sishangai Kama ulivyo sema umetetereka kiimani bado kutangaza tu umekufuru dini...
Kwamba wewe ni mtakatifu sana kiasi wanawake kwako ni Sawa na sabuni ya kuogea?!Mke WA pili ni kwa ajili ya amani na faraja baada ya mke WA kwanza kuzoea ndoa
Mleta mada amewaambia kumbukeni na kwenye malezi sio kupiga mabao tu eti “tunaonjoi “Wewe baki na mkeo usitupangie maisha. Sisi tuna wake zaidi ya mmoja na tunainjoi maisha kama kawaida.
Nina wake wawili wa ndoa na watoto wawili. Wake zangu wanapendana sana hadi natamani niwagombanishe ili wasiwe na umoja pale ninapowakosea...
Hilo hawezi kukujibu akikujibu mimi najitoa JF HUONI ALICHO JIBU [emoji3][emoji3] amekimbilia wake wa Yakobo[emoji16]jibu swali kwanini Allah akuweka usawa kwa wanawake ambao hawaridhiki na ndoa zao na wao waende kufurahia nje kama wanavyofanya wanaume?
Ndio maaana memuuliza hao wanawake unalala nao na kuishi nao nyumba moja.Thubutu yako!
Wake wawili wa kuchonga?...
yaaani kama mlevi anachojibu cha mbele anapeleka nyuma na cha nyuma analeta mbele kashindwa kujibuHilo hawezi kukujibu akikujibu mimi najitoa JF HUONI ALICHO JIBU [emoji3][emoji3] amekimbilia wake wa Yakobo[emoji16]
Angesoma KISA cha Yakobo angeelewa kwamba Yule Leah Yakobo alisakiziwa Yakobo alivyo fika kwa Labani MKE ALIE CHAGUA NI MMOJA TU NAE...
Mabao tunapiga na malezi tunatoa kulingana na hali zetu. Yeye asitushauri kwani kila mtu ana mipango yake. Asichukulie maisha ya familia yake ndio akafanya rejea ya maisha ya kila mtu. Ndoa zote zina changamoto hata hizo za mke mmoja.Mleta mada amewaambia kumbukeni na kwenye malezi sio kupiga mabao tu eti “tunaonjoi “
wewe ni MUISLAM mwenye akili mingi sana jamaa!!!"nenda kwa mpemba mwambie akupimie UROJO naja lipa mzee!!" kiuhalisia, hapa Tanzania au niseme hapa DSM,kuna wakati ata wewe mwenyewe unajishindwa,,,namaanisha nini kwa kusema kujishindwa? ninamaanisha kuna wakati wewe mwenyewe unaua winga,,,yaani wewe mwenyewe mahitaji yako mwenyewe kama kula,kulala na kujitibu ni issue,,,sasa unakuta m2 ana wake 4 watoto 16,,,then kazi yake kubwa si kutafuta pesa,kazi kubwa ni kuingia msikitini na kutoka mara 5 kwa siku!!!!!!kweli ataenda MBINGUNI huyu?Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana...
Nimecheka kwa sauti...🤣🤣🤣🤣wewe ni MUISLAM mwenye akili mingi sana jamaa!!!"nenda kwa mpemba mwambie akupimie UROJO naja lipa mzee!!",,,,,kiuhalisia,hapa tz au niseme hapa DSM...
Hongera sanaMabao tunapiga na malezi tunatoa kulingana na hali zetu. Yeye asitushauri kwani kila mtu ana mipango yake. Asichukulie maisha ya familia yake ndio akafanya rejea ya maisha ya kila mtu. Ndoa zote zina changamoto hata hizo za mke mmoja.
Mara ngapi tunashuhudia watu wenye mke mmoja wametelekeza familia? Kwahiyo tuwashauri watu wasioe kisa kuna mtu hamtunzi mkewe au katelekeza familia? Mtoa mada ni mmoja wa watoto waliomezeshwa sumu na mama zao ili kuwachukia baba zao. Atuache na maisha yetu.