Ugomvi wa ndoa siyo wa kuingilia namna Hiyo, ni kuwaamulia kuzuia kuzuia madhara, kisha kusuluhisha kwa busara.Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu.
Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
😂😂😂 Dar mnakokula chips jamani? Nikajua ni kanda ya Ziwa hukoDar tu ndio tuna uwezo wa kutoa kipondo namna hii wapi kwingine
Mimi ningeng'ata maeneo yake mbona angetoka hapo juu.Ila jamaa kazingua unamkaliaje mwenzio kooni namna hio
Ndiyo 😂😂Kwamba jamaa ni wa kule kanda maalum 😄
Kutombewa kunauma nyinyiHabari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
Tanzania ni jamii moja haijalishi mkristo au muislamu ,athari kama hizo ni kwa wote ...linapokuja suala la maadili ni mtihani kwa malezi yetu hasw watoto wanakuwa pamoja huko shule wanakuwa pamoja wa dini zote hata makabila yote.Siku hizi za kikristo wanaachana kila kukicha. Hayo ya sijui mpaka kifo kiwatenganishe huku mnaishi vyumba tofauti au mnachomana na magunia ya mjaa ni ujuha.
Kataa ndoa kama nawaonaNdoa ni kama dini, watu wameaminishwa hakuna kutengana,ivo wameuza nafsi zao huko....kufa kupona
Ndo upo kwenye gari masaa manne? Daladala gani hilo? Hebu wacheni kutetea upumbavu.Mke hachungwi hivyo unazani yeye akitaka kucheat anajiendea tu? Kuna wakati upo kwenye gari umesimama umebanwa huwezi fanya lolote, yeye ni mkamilifu?
Huoui kama ni afadhari wamefanyia hapo ,hao watu watazuia yasitokee madhara zaidi,kuliko nyumbani wangekuwa wenyewe tu.Hii video ime nifikirisha sana
Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwann asingesubiri mpk wafike nyumbani
Nina miaka 30 ya ndoaHuenda labda bado hujaingia kwa ndoa, inaweza kuwa rahisi kuyaongea. Au upo kwa ndoa na mtu sahihi so hayajakukuta.
Mkuu, huyu jamaa hatujui kwa nini wameanzia kwenye gari, sometimes majibu ya wenzetu ni karaha, kama huna kifua utashindwa.
Mimi huwa napiga mara moja kila baada ya saa moja.Missed calls 16 sio kigezo, unaweza pigia mtu mara 16 kwa intervals za 1Sec. Kama hakua na simu kwa DK10 tayari. Kumpigia mtu asipopokea vuta hata 5-10 Min ndio upige tena, huwa nachukia mtu anakupigia mfululu hupokei ikikata tu amepig tena
Labda walikuwa 'location' wakiandaa 'muvi'.Hii video ime nifikirisha sana
Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwann asingesubiri mpk wafike nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajijua kabisa wewe kibamia, tangazo la dawa ya kukuza kibamia linapita halafu unajifanya huchukui namba ya mganga kisha unakimbilia kuoa. Kwanini usigongewe.
# kibamia huwa kinamuondolea mwanaume hali ya kujiamini na kuona kama anachitiwa na mpenzi wake
Okay senior, tushukuru tumepata wake wasio na maneno, otherwise haya mambo sio rahisi hivyo.Nina miaka 30 ya ndoa
kabisa yaan ndo maana watu wanakwepa ndoa kwa mambo kama hayo
Ndoa zinachangamoto sn,Habari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
Kanisaa rfk ni boraa ukazaa tu ukaendelea ma maisha yako.kabisa yaan ndo maana watu wanakwepa ndoa kwa mambo kama hayo