Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

sa sasa upumbavu mkubwa, ni kuishi na mtu usiye muamini...
 
Hii video ime nifikirisha sana
Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwann asingesubiri mpk wafike nyumbani
Ulitaka aendelee ku drive akiwa na hasira ili akapate ajali na yeye afe kwa mjinga wa mwanamke mmoja mshenz mshenzi tu.
Jamaa katumia akil sana...tena katumia akil mnoo maana alijua akifikanae home anaweza akaua.
Bora hapo hadharan watajitokeza watu wa kumuamlia ugomvi.

Jamaa ana akil sana.
Hakutaka kwenda kujishushia heshima mbele ya watoto wake
 
Stori ya upande mmoja hii mkuu😅 bibiye nae hatujamsikiliza, au naleta ufeminist?
Aah wapi namtetea mwanaume
Maelezo yako wazi kabisa
Kamruhusu mwenyewe,na alijua alipoenda ,ilikuwa arudi sa kumi na mbili,badala yake huo muda we hupokei cm mpk sa nne usiku?!!like seriously
Hapana aisee mi ndo maana Bora niwe mwenyewe unaweza ua mtu Bure sitaki mambo ya kipuuzi kabisaa
Mtu anae cheat simuwezi,simutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…