Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Kheee jamani...mi ndo maana simu yangu mtu wa kwanza simu ikizima namuwaza ni mr au nikiwa sipatikani...hawa wanaume wana vichaa....sasa labda simu ilikua silent..au labda kama kuna matukio mengine ya kuashiria kutokua mwaminifu ila sio kumkaba hivyo..yani wamejianika ni aibu mnoo kesho yake..
 
Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Yeye alitumia hasira kubilingishana na mkewe barabarani. Wewe nae unatumia hasira kucoment. Fun enough, unaweza Kuta muda huu Kila kitu kipo sawa kati yao.

Calm down
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio



Kuna wanaume wanaona hayo wana negotiate naye, pumbavu kabisa, huyo muhalifu wa kawaida.
 
Kheee jamani...mi ndo maana simu yangu mtu wa kwanza simu ikizima namuwaza ni mr au nikiwa sipatikani...hawa wanaume wana vichaa....sasa labda simu ilikua silent..au labda kama kuna matukio mengine ya kuashiria kutokua mwaminifu ila sio kumkaba hivyo..yani wamejianika ni aibu mnoo kesho yake..
Hakunaa kiumbe mwenye smart phone duniani hasa tanzania atakaa masaa 3 bila kushika simu yake isipokuwa ananyanduana...au anafanya kazi time limited boss kamind kazi ipelekwe. sasa huyu katoka out gani masaa 3 hagusi simu???
 
Ila akiweza kuchepuka bila kuvuruga tabia zake zilizompelekea kupendwa na mume bas ni ngumu mume kugundua kua mke anachepuka achilia mbali kuhisi kua anagongewa, shida inanzia kwenye tabia.
Hii haiwezi kutokea labda km tu mnaishi kisasa(haki sawa lakini km wewe ni mwanaume na unalea familia yko inavyotakiwa lazima mabadiliko yakijtokeza utagundua tu ila kupata ushahidi kamili ndio huenda ikakuchukua muda
 
Mimi ndio maana huwa namsisitizia mume wangu mara kwa mara "Mimi sio mali yako, ni mwenza wako" ili iendelee kuingia akilini. We are partners, lovers na hakuna anayemmiliki mwenzie wala baba au mama wa mwenzie. The options you have ukikosewa ni kusamehe au kuondoka na ni haki yako kufanya either of them!
Wewe umeolewa lini ndugu yangu! Au huyo hawala ndiyo unamuita mme?

Kuna kontent ukiisoma tu unajua huyu hajaolewa!
Missed call 16 siyo mchezo! Haya hiyoo saa 4 ya usiku ndiyo kabisa imenitoa Moody!!
Ukiolewa maana yake unakuwajibika kwa mwenzako! Siyo ombi ni lazima kutoa taarifa! Ungekuwa hutaki ungeacha waolewe wengine huko!

Mambo ya kuja kudangia ndani ya ndoa marufuku ..
 
Sahihi nilirudi hm sikumoja namkuta mama mwenye nyumba kapasuka vbaya + kung'olewa meno, wenzie wanakazi ya kumshauri hili usikubali lazima huyu mwanaume umkomeshe. Hali ilikuwa mbaya kw bibie kumuangalia ×2 huwezi tukaungana familia ya kumsaka jamaa kila baada ya dk 2 tunapigiwa ameonekana hapo! lkn siku 3 nyingi bibie anaanza kutupa taarifa mkipigiwa simu mmemuona baba flani semeni hapana kumbe mwamba yuko ndani maisha yanaendelea na mkewe. Oya usiingilie ugomvi wa wanandoa hta iweje... Kuna mshikaji alienda kuamulia ugomvi wa wanandoa ndani ktk kusukumana wakaangusha tv kunakucha mshikaji kaitwa kituoni wanadoa wamemshtaki kawavunjia tv yao
Muda mwingine ugomvi sio wa kuurukia tu linaweza kukuta jambo na huyo aliyewekwa chini akabaki anasema akome alifuata nn
 
Hakunaa kiumbe mwenye smart phone duniani hasa tanzania atakaa masaa 3 bila kushika simu yake isipokuwa ananyanduana...au anafanya kazi time limited boss kamind kazi ipelekwe. sasa huyu katoka out gani masaa 3 hagusi simu???
Duuh alipiga kwa intavo au ndo ileee pigaaa pigaaa na ww ndani ya lisaa limoja?.
Any way wanawake siku hizi sio wa kuwatetea sana wenzangu hawa...ila huyo alivyomkanyaga mguu wa kuku mguu wa kuchinja jamana....
 
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Mnazingatia sana ukatili wa kimwili ila ukatili wa kisaikolojia alio fanyiwa huyo mume huwa mnajifanya hamuuoni.
 
Back
Top Bottom