Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kheee jamani...mi ndo maana simu yangu mtu wa kwanza simu ikizima namuwaza ni mr au nikiwa sipatikani...hawa wanaume wana vichaa....sasa labda simu ilikua silent..au labda kama kuna matukio mengine ya kuashiria kutokua mwaminifu ila sio kumkaba hivyo..yani wamejianika ni aibu mnoo kesho yake..