Yeye alitumia hasira kubilingishana na mkewe barabarani. Wewe nae unatumia hasira kucoment. Fun enough, unaweza Kuta muda huu Kila kitu kipo sawa kati yao.Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Missed call 16 sikumaliziana charge tu na umeme huu wa mgao, haya ndio madhara ya kusomea primary vijijini unaamini adabu hufunzwa kwa kupiga, gari yenyewe ist namba c, unapiga demu kweli?
Ni ngumu sana mke achepuke na heshima kwa mumewe iendelee kuwepo. Kwanza kitendo cha kuchepuka kinaonyesha kuwa ameshakudharau. Angekuwa anakuheshimu hawezi.
Habari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
Hakunaa kiumbe mwenye smart phone duniani hasa tanzania atakaa masaa 3 bila kushika simu yake isipokuwa ananyanduana...au anafanya kazi time limited boss kamind kazi ipelekwe. sasa huyu katoka out gani masaa 3 hagusi simu???Kheee jamani...mi ndo maana simu yangu mtu wa kwanza simu ikizima namuwaza ni mr au nikiwa sipatikani...hawa wanaume wana vichaa....sasa labda simu ilikua silent..au labda kama kuna matukio mengine ya kuashiria kutokua mwaminifu ila sio kumkaba hivyo..yani wamejianika ni aibu mnoo kesho yake..
hili sualaa kwa mke ni uongooo...!!Watu mnafeli kuelewa mapenzi ni uwekezaji wa hisia na rasilimali nyingine hakuna anaefurahia apate hasarba ndiyo maana mwisho wake huwa mbaya,
Mpende kwa kiasi
Hii haiwezi kutokea labda km tu mnaishi kisasa(haki sawa lakini km wewe ni mwanaume na unalea familia yko inavyotakiwa lazima mabadiliko yakijtokeza utagundua tu ila kupata ushahidi kamili ndio huenda ikakuchukua mudaIla akiweza kuchepuka bila kuvuruga tabia zake zilizompelekea kupendwa na mume bas ni ngumu mume kugundua kua mke anachepuka achilia mbali kuhisi kua anagongewa, shida inanzia kwenye tabia.
Robo saa hii ipi tena! Wakati wote tunafahamu nyinyi humu mabwana zenu mbususu wanaichakata muda mchache sana ni masaa 2Simu inapokelewa vzr nakwambia.. Au mkimaliza tu unampigia hapo hapo yaani isizidi robo saa hujapiga
Wewe umeolewa lini ndugu yangu! Au huyo hawala ndiyo unamuita mme?Mimi ndio maana huwa namsisitizia mume wangu mara kwa mara "Mimi sio mali yako, ni mwenza wako" ili iendelee kuingia akilini. We are partners, lovers na hakuna anayemmiliki mwenzie wala baba au mama wa mwenzie. The options you have ukikosewa ni kusamehe au kuondoka na ni haki yako kufanya either of them!
Masaa mawili? 😀😀 Nadra sanaRobo saa hii ipi tena! Wakati wote tunafahamu nyinyi humu mabwana zenu mbususu wanaichakata muda mchache sana ni masaa 2
Muda mwingine ugomvi sio wa kuurukia tu linaweza kukuta jambo na huyo aliyewekwa chini akabaki anasema akome alifuata nn
Jf siku zote yanawezekana mambo yasiyowezekana ktk hali ya kawaida ila kwa jf ni rahisiMasaa mawili? 😀😀 Nadra sana
kuna jamaa mnugeria Alipasua simu ya mkewe mke anaenda kupasua machine ya PES 5,, Alizinduka yuko ICU mahututi😂😁 sijui ntamfanya nini ila atatokwa na jasho la maumivu
😂 pes 5 vs kupasuliwa mwilikuna jamaa mnugeria Alipasua simu ya mkewe mke anaenda kupasua machine ya PES 5,, Alizinduka yuko ICU mahututi😂
Duuh alipiga kwa intavo au ndo ileee pigaaa pigaaa na ww ndani ya lisaa limoja?.Hakunaa kiumbe mwenye smart phone duniani hasa tanzania atakaa masaa 3 bila kushika simu yake isipokuwa ananyanduana...au anafanya kazi time limited boss kamind kazi ipelekwe. sasa huyu katoka out gani masaa 3 hagusi simu???
HahahahaJamaa kama undertaker kwenye mieleka sio poa
Mnazingatia sana ukatili wa kimwili ila ukatili wa kisaikolojia alio fanyiwa huyo mume huwa mnajifanya hamuuoni.Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.