Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Aise wale kataa ndoa hawana mpinzani mpaka sahvi
Ila mwanaume huyo naye kajichoresha sana kwa kuchukua uamuzi huo mpaka anarekodiwa

NYIE MLIYOKO KWENYE NDOA MKIONA MNAZINGUANA PIGANENI
CHINI

ova
 
Ila mtume alioa wakutosha
 
Broo hii ni point
 
Ngoja waje wale watetezi wa jinsia ya kike
Vp fatma karume,Joyce kiria hawajaiona hii video

Ova
 
Kataa ndoa naomba mtusamehe .
Mtuwie radhi kwa kuwabishia mambo ambayo ni ya ukweli.
 
Point

Ova
 
Wajua haya mambo ya hadi kutokea missed calls huchangiwa sana na kukosekana/ kupungua kwa mapenzi.

So, kwenye mapenzi huwa missed calls hazitokei labda kwa sababu ambazo nyote wawili mnazijua.

Ova
Lakini b... kuna dharura pia. Simu kutokupokelewa kwa wakati kisha ukatafutwa baada ya muda mfupi kukujulisha dharura iliyopelekea kutokupokelewa sidhani kama kuna shida.

So yeah, dharura zipo ila sio kwa kupitiliza na kila wakati.
 
Ila alimuaga sasa alitakiwa amuulize kwanza , unamkaba mkeo barabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check akili za wanawake zilivyo mbovu unabanwa nini kwenye gari? Mbona watu wengi tu wanapokea kwenye gari na kuwaambia watu wao wanaowapigia wasubiri washuke?
Ulishawahi kupanda gari lilojaa wewe mbagala - kawe, makumbusho, g/mboto wewe? Mtu kaenda kwenye shughuli kaweka mkoba wake anafuatilia alichoenda kufanya! Sasa huyo mkewe ameshamuona kenge tu huyo bwana na siku akiachwa huyo baba ataokota makopo maana si kwa upuuzi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo upo kwenye gari masaa manne? Daladala gani hilo? Hebu wacheni kutetea upumbavu.
Si aliaga jamani alikoenda, hivi ulishawahi msikia mtu akipiga simu kumkaripia mkewe mbele za watu? Kuna mtu alikuwa anaongea Na mkewe tena loudspeaker alipomaliza alikuwa na mwenzie akaanza kumcheka wewe unaongea maneno gani hayo na mkeo huna hakili kabisa tena kwenye daladala? Embu ona hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini b... kuna dharura pia. Simu kutokupokelewa kwa wakati kisha ukatafutwa baada ya muda mfupi kukujulisha dharura iliyopelekea kutokupokelewa sidhani kama kuna shida.

So yeah, dharura zipo ila sio kwa kupitiliza na kila wakati.
Ndiyo nasema, kwenye kupendana ni lazima sababu za wazi zitakuwepo na kueleweka.

Kukiwepo kupendana, hata mashaka hupungua sana.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…