Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,591
Missed call mwisho 2Hivi b... wewe missed calls mwisho ngapi?
Mdakuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missed call mwisho 2Hivi b... wewe missed calls mwisho ngapi?
Mdakuzi
Kumbe ndio maana kaka mzuri alinipigia mara 2 sikupokea kasusa?Missed call mwisho 2
Ila mtume alioa wakutoshaKama una akili vizuri kabisa na unauwezo wa kufikiri...
NDoa sio sehemu nzuri ya kuingia
Ndoa zipo kwa watu wasio na logic ni special for emmotional people
Hakuna genius dunian aliekuwa ameoa
Hata yesu kukaa kwake duniani kote miaka 33 hakuoa hujiulizi? Why
+ 72 ukiwekwa tu kaburini unakutana naoIla mtume alioa wakutosha
Broo hii ni pointKama una akili vizuri kabisa na unauwezo wa kufikiri...
NDoa sio sehemu nzuri ya kuingia
Ndoa zipo kwa watu wasio na logic ni special for emmotional people
Hakuna genius dunian aliekuwa ameoa
Hata yesu kukaa kwake duniani kote miaka 33 hakuoa hujiulizi? Why
PointKama una akili vizuri kabisa na unauwezo wa kufikiri...
NDoa sio sehemu nzuri ya kuingia
Ndoa zipo kwa watu wasio na logic ni special for emmotional people
Hakuna genius dunian aliekuwa ameoa
Hata yesu kukaa kwake duniani kote miaka 33 hakuoa hujiulizi? Why
Kataa ndoa wanajinyakulia tu pointKataa ndoa naomba mtusamehe .
Mtuwie radhi kwa kuwabishia mambo ambayo ni ya ukweli.
Lakini b... kuna dharura pia. Simu kutokupokelewa kwa wakati kisha ukatafutwa baada ya muda mfupi kukujulisha dharura iliyopelekea kutokupokelewa sidhani kama kuna shida.Wajua haya mambo ya hadi kutokea missed calls huchangiwa sana na kukosekana/ kupungua kwa mapenzi.
So, kwenye mapenzi huwa missed calls hazitokei labda kwa sababu ambazo nyote wawili mnazijua.
Ova
Ila alimuaga sasa alitakiwa amuulize kwanza , unamkaba mkeo barabarani?Ni kweli mke hachungwi lakini kwasisi wanaume ni vigumu sana kuendana na hii kauli . Kwanini kwasababu wanaume wengi hatupendi kugongewa hivyo kwa namna moja au nyingine kwa wazi au kwa siri hujitahidi kuwachunga wapenzi wetu . Na hii ni kwa wanaume wengi sana bila kujua kuwa kazi ya kuchunga mwanamke tujipayo ni ngumu sana na kwame hatutaiweza lakini bado wengi wetu hutakakuendelea kuifanya .
Ulishawahi kupanda gari lilojaa wewe mbagala - kawe, makumbusho, g/mboto wewe? Mtu kaenda kwenye shughuli kaweka mkoba wake anafuatilia alichoenda kufanya! Sasa huyo mkewe ameshamuona kenge tu huyo bwana na siku akiachwa huyo baba ataokota makopo maana si kwa upuuzi huo.Check akili za wanawake zilivyo mbovu unabanwa nini kwenye gari? Mbona watu wengi tu wanapokea kwenye gari na kuwaambia watu wao wanaowapigia wasubiri washuke?
Si aliaga jamani alikoenda, hivi ulishawahi msikia mtu akipiga simu kumkaripia mkewe mbele za watu? Kuna mtu alikuwa anaongea Na mkewe tena loudspeaker alipomaliza alikuwa na mwenzie akaanza kumcheka wewe unaongea maneno gani hayo na mkeo huna hakili kabisa tena kwenye daladala? Embu ona hayo!Ndo upo kwenye gari masaa manne? Daladala gani hilo? Hebu wacheni kutetea upumbavu.
Ndiyo nasema, kwenye kupendana ni lazima sababu za wazi zitakuwepo na kueleweka.Lakini b... kuna dharura pia. Simu kutokupokelewa kwa wakati kisha ukatafutwa baada ya muda mfupi kukujulisha dharura iliyopelekea kutokupokelewa sidhani kama kuna shida.
So yeah, dharura zipo ila sio kwa kupitiliza na kila wakati.