Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Hajielewi huyo Baba hapo alivyo mkaba akimng'ata kengele zake atasemaje! Huyo mke akiache tu abaki mwenyewe, ukute hata huko ndani nitia maji tia maji mke anamvumilia tu nakumtunzia siri pumbafu kabisa, waliosema kujenga nyumba nakuweka vyumba anazani hawana akili kwanini kumdhalilisha mkeo hivyo , hizo chuki mpaka kwa watoto wake .
 
Kitu Wanawake hawajui ni kadri mwanaume anapokupigia simu afu haupokei ndivyo inavyozidi kupandisha hasira mwanaume .

Najua wanawake wengi huona bora asipokee simu kwa kuepuka kufokewa kwenye simu na kujipa moyo kuwa akifika nyumbani watayajenga . Lakin wasichojua sisi wanaume hufafanua hiyo ni kama dharau na kuamini kile tunachokiamini kwenye akili yetu kwa wakati huo kama vile ananisariti muda huu ndyo maana hapokei simu yangu .

Tisa kumi . Unaweza kujiuliza ni nini kimepelekea huyu mwanaume kuhisi kusalitiwa ?? Kwanini hajawaza labda mkewe alikuwa mbali na simu au alikuwa simu kaiweka silent mode ??.

Hapa kwa uzoefu wangu . Jibu ni kuwa huyu jamaa huende huko nyuma alishawahi fumania mesegi au maongezi fulani ya mkewe ambayo yaliashiria usaliti na kuamua kumsamehe mkewe lakini toka hapo amekuwa hamuamini tenaaa mkewe na ndiyo maana hata simu iliposhindwa kupokelewa moja kwa moja yeye kawaza mkewe alikuwa kaenda kumsaliti tu na si vinginevyo.
Umeeleza vyema sana mkuu na ndio ukweli
 
Mke hachungwi hivyo unazani yeye akitaka kucheat anajiendea tu? Kuna wakati upo kwenye gari umesimama umebanwa huwezi fanya lolote, yeye ni mkamilifu?
 
When commonsense is not common.Huyu jamaa ni mjinga haswa.Kamruhusu mwenyewe kwenda alipokwenda na kakaa mpaka saa 4 usiku.Solution ni kumkaba?Anatia aibu wanaume. Huwezi ku deal na ndoa kistaarabu usioe.
Eti kamruhusu sasa anamkaba nini badala ya kuuliza kwanza labda usafiri , mjinga kwakweli yapo mengi ya hivi lingine linaweza likamropokea tu mkewe hata mbele za watu mpaka unajiuliza huyu ni msukule part two au kitu gani
 
Biashara ikiwa ngumu, binadamu anatafuta ufumbuzi ,anaishinda

Kazini mazingira magumu kweli ya kazi , binadamu anatafuta ufumbuzi ,anaishinda

Maisha hata yawe magumu vipi, binadamu anatafuta ufumbuzi ,anaishinda

Lakini mtego wa kwenye ndoa ,changamoto kidogo, binadamu anawaza kukimbia.Kibaya kishazaa,anaandaa mtoto wa mtaani akawe changudoa au shoga.
Kwahiyo watu wabaki kwenye ndoa iliwauane na kupigana lock up barabarani. Watu kama nyie mnafikiria kinyume. Siyo kila ndoa inatakiwa kudumu.
 
Kuna hatua ukifika tu, acha mambo yaende yenyewe.. Achana nae shika zako, ya nini ujimalize. Utapiga utauwa utaishia jela, starehe za mjini ma duniani unakosa.

Hukuzaliwa na mtoto wa mtu, ye sio wa kwanza na hawezi kuwa wa mwisho.
Piga chini vuta mali nyingine.
 
Back
Top Bottom