Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Hii video ime nifikirisha sana
Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwann asingesubiri mpk wafike nyumbani

Huyu jamaa unakuta kashasema ndani mpaka kachoka, hapo ni ile hali yaku changanyikiwa anahisi akifanya ivyo mbele za watu kuna relief atapata...... na pengine anahisi akifika ndani mwanamke labda ataomba msamaha, kuna wanawake kwenye ndoa hata akosee vipi samahani hasemi,

Unaweza usimuelewe huyo jamaa na wengi tutasema kakosea!!! Ila vipi kuhusu izo calls zote alizopiga wife alikuwa haoni???
 
Anapigana na mkewe kama anapigana na kibaka, mkeo umamweka chini kama lijuha vile!

Kuna mmoja alikuwa anampiga mkewe sijui alimminya kweli akawa anashitakia kaniminya pulu zangu mke akadakia nikuminye zipi wakati hizo zimesimyaa kama biringanya zilizokauka ningeminya nini![emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kibokoooo, khaaah
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

View attachment 2865754
sio ndoa tu,kwa sasa kila kitu ni changamoto,ila ndoa kwakuwa ni taasisi muhimu kwenye maisha,changamoto zake zinapewa nafasi kubwa mno,kuelezewa.Ndoa zinataka uvumilivu mkubwa sana
 
Hasira hasara. Yule aliemkhaanga mke wake kwenye magunia ya mkaa kigamboni yalikua haya haya. Kusukumana bahati mbaya kateleza kajigonga kwny kona ya kitanda akafa. Hasira zikiisha ndio utagundua ni ujinga tu umefanya. Take it slowly & calmy.....mmekutana tu mkaamua kuishi, amueni pia kutengana kwa faida yenu na watoto wenu sio mmoja afe mwingne aende jela then watoto wabaki na nani?? Hizo mali mmechuma unadhani ndugu watakua na uchungu nazo na hvo vfaranga vyenu??? Hasira hasara
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

View attachment 2865754
Kuna uzi humu ulisema watanzania tumelishwa kitu na wanasiasa ili tusijitambue wao waendelee kututafuna huenda kuna ukweli
 
Back
Top Bottom