Umeeleza vyema sana mkuu na ndio ukweliKitu Wanawake hawajui ni kadri mwanaume anapokupigia simu afu haupokei ndivyo inavyozidi kupandisha hasira mwanaume .
Najua wanawake wengi huona bora asipokee simu kwa kuepuka kufokewa kwenye simu na kujipa moyo kuwa akifika nyumbani watayajenga . Lakin wasichojua sisi wanaume hufafanua hiyo ni kama dharau na kuamini kile tunachokiamini kwenye akili yetu kwa wakati huo kama vile ananisariti muda huu ndyo maana hapokei simu yangu .
Tisa kumi . Unaweza kujiuliza ni nini kimepelekea huyu mwanaume kuhisi kusalitiwa ?? Kwanini hajawaza labda mkewe alikuwa mbali na simu au alikuwa simu kaiweka silent mode ??.
Hapa kwa uzoefu wangu . Jibu ni kuwa huyu jamaa huende huko nyuma alishawahi fumania mesegi au maongezi fulani ya mkewe ambayo yaliashiria usaliti na kuamua kumsamehe mkewe lakini toka hapo amekuwa hamuamini tenaaa mkewe na ndiyo maana hata simu iliposhindwa kupokelewa moja kwa moja yeye kawaza mkewe alikuwa kaenda kumsaliti tu na si vinginevyo.
Mke hachungwi hivyo unazani yeye akitaka kucheat anajiendea tu? Kuna wakati upo kwenye gari umesimama umebanwa huwezi fanya lolote, yeye ni mkamilifu?Kitu Wanawake hawajui ni kadri mwanaume anapokupigia simu afu haupokei ndivyo inavyozidi kupandisha hasira mwanaume .
Najua wanawake wengi huona bora asipokee simu kwa kuepuka kufokewa kwenye simu na kujipa moyo kuwa akifika nyumbani watayajenga . Lakin wasichojua sisi wanaume hufafanua hiyo ni kama dharau na kuamini kile tunachokiamini kwenye akili yetu kwa wakati huo kama vile ananisariti muda huu ndyo maana hapokei simu yangu .
Tisa kumi . Unaweza kujiuliza ni nini kimepelekea huyu mwanaume kuhisi kusalitiwa ?? Kwanini hajawaza labda mkewe alikuwa mbali na simu au alikuwa simu kaiweka silent mode ??.
Hapa kwa uzoefu wangu . Jibu ni kuwa huyu jamaa huende huko nyuma alishawahi fumania mesegi au maongezi fulani ya mkewe ambayo yaliashiria usaliti na kuamua kumsamehe mkewe lakini toka hapo amekuwa hamuamini tenaaa mkewe na ndiyo maana hata simu iliposhindwa kupokelewa moja kwa moja yeye kawaza mkewe alikuwa kaenda kumsaliti tu na si vinginevyo.
Eti kamruhusu sasa anamkaba nini badala ya kuuliza kwanza labda usafiri , mjinga kwakweli yapo mengi ya hivi lingine linaweza likamropokea tu mkewe hata mbele za watu mpaka unajiuliza huyu ni msukule part two au kitu ganiWhen commonsense is not common.Huyu jamaa ni mjinga haswa.Kamruhusu mwenyewe kwenda alipokwenda na kakaa mpaka saa 4 usiku.Solution ni kumkaba?Anatia aibu wanaume. Huwezi ku deal na ndoa kistaarabu usioe.
Kwahiyo watu wabaki kwenye ndoa iliwauane na kupigana lock up barabarani. Watu kama nyie mnafikiria kinyume. Siyo kila ndoa inatakiwa kudumu.Biashara ikiwa ngumu, binadamu anatafuta ufumbuzi ,anaishinda
Kazini mazingira magumu kweli ya kazi , binadamu anatafuta ufumbuzi ,anaishinda
Maisha hata yawe magumu vipi, binadamu anatafuta ufumbuzi ,anaishinda
Lakini mtego wa kwenye ndoa ,changamoto kidogo, binadamu anawaza kukimbia.Kibaya kishazaa,anaandaa mtoto wa mtaani akawe changudoa au shoga.
Ni mwendo wa visu juu ya gadem visuAlafu chalamila na jopo lake eti wanasema tusinunue???!! 😀 😀 😀 😀 huu upuuzi sidhani kama unaweza kuja kunikuta. #LeMutuzLifestyle
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu.
Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili
Jaman msitufanyie hivi. Tukishindwana bora kuachana.Ni mwendo wa smack down tu mwaka huu
Ila jamaa kweli kazinguaJaman msitufanyie hivi. Tukishindwana bora kuachana.
Tena upuuzi mkubwa na ujinga juuKuna mda NDOA inakuaga upuuzi