Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ila jamaa kweli kazingua
Unaanzaje kupigana kwa style hiyo ya mauaji na mwanamke
Yeye mwenyewe kamruhusu aende huko aliko enda huwezi jua sherehe ilipamba moto dada wa watu akawa hasikii simu
Anapigana na mkewe kama anapigana na kibaka, mkeo umamweka chini kama lijuha vile!

Kuna mmoja alikuwa anampiga mkewe sijui alimminya kweli akawa anashitakia kaniminya pulu zangu mke akadakia nikuminye zipi wakati hizo zimesimyaa kama biringanya zilizokauka ningeminya nini![emoji3]
 
Kwanini upige simu zaidi ya mara mbili?
 
Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Mkuu watu tunatofautiana kuitikia mambo,yani ukiona unaweza wa kutuliza hasira na kuzungumza na mtu kwa utaratibu unakuwa umebahatika sana! Hapo lazima Kuna mambo yanaendelea kwenye hiyo familia so hicho kimekuwa kisingizio tu, imagine saa12 mpaka saa4 usiku mkeo hapokei simu,missi calls 16,so mwamba anajua kachapiwa ndiosababu kapaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…