Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
Pamoja na ukakasi wa dildos, je ni bora mara mia kuliko mchepuko?
Zikijulikana kimombo kama sex toys, ama kwa jina lake la kitaalam dildos.. Ni midoli ya kujichua na kuondoa hamu za hisia za kingono kwa jinsia zote mbili lakini maarufu zaidi ikiwa ya kiume na watumiaji wakiwa wanawake. Inawezekana kabisa waliokuja na huu mbadala wa matumizi ya sex toys...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kachapiwaHabari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
View attachment 2865754
Miss call 16 ni ugonjwa wa akiliMissed calls 16 sio kigezo, unaweza pigia mtu mara 16 kwa intervals za 1Sec. Kama hakua na simu kwa DK10 tayari. Kumpigia mtu asipopokea vuta hata 5-10 Min ndio upige tena, huwa nachukia mtu anakupigia mfululu hupokei ikikata tu amepig tena
Sasa kama alikuwa anachakatwa wewe shida Yako ni ipi? Si ni mwili wake au?Demu 100% alikua achakatwa! Haiwezekani missed call 16 alikua anaziona aende kwenye block contact and messages huko anaweza pata chochote.
Hapa kataa ndoa ndo huwa nawaunga mkono 100% hii ni upuuzi.
Yap Upo sahihi 100% ni mwili wake. Muulize jamaa mwenye mke sisi wengine ni wachangiaji tu, tunatoa maoni yetu tu.Sasa kama alikuwa anachakatwa wewe shida Yako ni ipi? Si ni mwili wake au?
Ila kuchapiwa kunauma mjomba,yaliwahi kunikuta kuna hali Fulani unaisikia isiyoelezeka na ndoa ikafa hapo hapo uzuri ndoa ilikuwa changa tulikuwa hatuna watotoSasa kama alikuwa anachakatwa wewe shida Yako ni ipi? Si ni mwili wake au?
Wewe Naona unatetea miskolo 16..? Kuwa serious wewe.Hiyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Mwisho kupiga simu Mara 2 tu,ukilazimisha kupiga cm mara kwa mara unalazimisha ubongo ujenge taswira tofautiMiss call 16 ni ugonjwa wa akili
Sio akili za kitoto mkuu....Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Ni utoto na mental healthSio akili za kitoto mkuu....