bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Usiwafate ila kuwa mjanjaKwa mambo yanayoendelea sasa hivi, naanza kukubaliana na wale wenye kampeni ya kukataa ndoa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwafate ila kuwa mjanjaKwa mambo yanayoendelea sasa hivi, naanza kukubaliana na wale wenye kampeni ya kukataa ndoa!
Ahahaha.Mungu akusaidie mahusiano ya sasa yafanye kazi....nakumbuka mada yako ulivyotendwa mkuu
Huyo mwanamke ni mhuni, pokea simu toa maelezo unapokaa kimya unasababisha mwanaume kukuhisi vibayaHuyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Kipi bora kunyanyaswa kimwili au kunyanyaswa kihisia? Na ipi inauma zaidi??Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
missed calls 16 huyu mke kwa nn hakupokea?? siungi mkono kumdhalilisha hadharani, wangeenda kumalizana home tu!Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Oh,Kumbe vizuri mkuuAhahaha.
Nina thread hazifik 6 humu ndani.
Na hakuna inayohusu hizo habar, go and chek again.
Also, mahusiano yangu yako yamafanya kazi gud kabisa..15 yrs tena yamerasimishwa 😂😂 Utakua umenichanganya mkuu 😅😅.
naweza nikakuoa na wewe kama ukiwa tayar Na nikakupa guarantee kwamba ni kifo tu kitatutenganisha...
Kabisaa yan.Oh,Kumbe vizuri mkuu
😂😂Hawezi tena mtalimbo ushalala dolo
Fuatilia😂kumbe
Atombwe mwingine uumie wewe huo si utaahira?Kutombewa kunauma nyinyi
Mimi hata sihangaiki yaani alale huko hukoAah wapi namtetea mwanaume
Maelezo yako wazi kabisa
Kamruhusu mwenyewe,na alijua alipoenda ,ilikuwa arudi sa kumi na mbili,badala yake huo muda we hupokei cm mpk sa nne usiku?!!like seriously
Hapana aisee mi ndo maana Bora niwe mwenyewe unaweza ua mtu Bure sitaki mambo ya kipuuzi kabisaa
Mtu anae cheat simuwezi,simutaki
Wote wenye comment inayoendana na hii ni wapuuziHao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.