Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Mungu akusaidie mahusiano ya sasa yafanye kazi....nakumbuka mada yako ulivyotendwa mkuu
Ahahaha.
Nina thread hazifik 6 humu ndani.
Na hakuna inayohusu hizo habar, go and chek again.
Also, mahusiano yangu yako yamafanya kazi gud kabisa..15 yrs tena yamerasimishwa 😂😂 Utakua umenichanganya mkuu 😅😅.

naweza nikakuoa na wewe kama ukiwa tayar Na nikakupa guarantee kwamba ni kifo tu kitatutenganisha...
 
Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
missed calls 16 huyu mke kwa nn hakupokea?? siungi mkono kumdhalilisha hadharani, wangeenda kumalizana home tu!
 
Ahahaha.
Nina thread hazifik 6 humu ndani.
Na hakuna inayohusu hizo habar, go and chek again.
Also, mahusiano yangu yako yamafanya kazi gud kabisa..15 yrs tena yamerasimishwa 😂😂 Utakua umenichanganya mkuu 😅😅.

naweza nikakuoa na wewe kama ukiwa tayar Na nikakupa guarantee kwamba ni kifo tu kitatutenganisha...
Oh,Kumbe vizuri mkuu
 
Aah wapi namtetea mwanaume
Maelezo yako wazi kabisa
Kamruhusu mwenyewe,na alijua alipoenda ,ilikuwa arudi sa kumi na mbili,badala yake huo muda we hupokei cm mpk sa nne usiku?!!like seriously
Hapana aisee mi ndo maana Bora niwe mwenyewe unaweza ua mtu Bure sitaki mambo ya kipuuzi kabisaa
Mtu anae cheat simuwezi,simutaki
Mimi hata sihangaiki yaani alale huko huko
 
Ukiwa mwana jamii ambaye una vingi vya kupoteza kuna vitu huwezi kufanya hata umkute live analiwa. 🗑️🚮

Ndio maana kuna nyumba, na ndani ya nyumba kuna chumba.

Nani anaelewa kwanini masanja alideal na katibu? (Kama stori ile ni ya kweli)
 
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Wote wenye comment inayoendana na hii ni wapuuzi
 
Mara nyingi kumpigia mtu missed call zizidi 2 ni kumtafutia kosa, kwani huyo mke ni daktari kusema kuna emergency au dereva wa ambulance?

Btw, Unaishije na mke ambaye anaonesha dalili zote za kutokukuheshimu? Aisee mengine mnajitafutia, hata kama kids are involved ya’ll can do better.

Watu wasiokuwa na akili wanachosha hata kuwafikiria sembuse kuishi nae.
 
Back
Top Bottom