Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

ukiwa umelelewa kwenye vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu huwez kuelewa hii kitu kwamba ukimtendea ukatili wa waz sista angu nikaona bas sehemu za haja kubwa zitakua rehani
Sasa sista ako anapasuliwa na anayempasuaga k daily wewe inakuuma nini..?
Daily hao wanapigana uchi na sister ako hata hawaambii af leo wewe ujifanye kuumia wakipigana huku wamvaa nguo?😂😂😂
 
😂😂😂😂 hao walikua na laana
sisi hata mtaani kwetu tukijua unampiga mkeo mangumi tukikufuma live unachezea mangumi pia hatujali kama mnapendana au la kama mnapigana in privacy na mnavumiliana fresh tu ila ukimpiga mbele tukaona au tukasikia maana umejivunjia mwenyewe your freedom to privacy lazima tukufunze adabu mwanamke hapigwi ngumi
 
U
sisi hata mtaani kwetu tukijua unampiga mkeo mangumi tukikufuma live unachezea mangumi pia hatujali kama mnapendana au la kama mnapigana in privacy na mnavumiliana fresh tu ila ukimpiga mbele tukaona au tukasikia maana umejinjia mwenyewe your freedom to privacy lazima tukufunze adabu mwanamke hapigwi ngumi
Utakuja kufa kifo kisicho chako amini maneno yangu!
 
Hapo mwanaume ukimsachi kwenye simu hukosi chats za wanawake kama wanne hivi
Hiyo ndo asili ya wanaume, mwanaume akiwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni urijali, ila mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja ni umalaya. Wanaume tunaanza kutamani, kupenda inakuja baadae, so tuna tamaa usitushangae.

Lakini kuchiti siyo busara, si mwanaume si mwanamke, inashauriwa mtu atulie na mmoja tu.
 
Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Haki hiyo alipewa siku familia ya baba mkwe walipopokea posa na ikahitimishwa na kasisi wa kanisa takatifu kwamba wao ni mke na mume.
 
Back
Top Bottom