Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Mwanafunzi wangu wa karate nimemfundisha jinsi ya kumkabia mtu chini ila bado anamkaba mke wake kama hajawai kuwa mwanafunzi wangu wa karate, nilimuelekeza ukitaka kumkabia mtu chini mgeuze kwanza alalie tumbo ndo umkabe sasa yeye ndo kafanya nini hapo?
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

Kuna mwalimu wangu wa college zamani sana alikuwa na msemo mmoja ambao nadhani aliusikia mahali na alikuwa akiusema sana na hadi leo naukukumbuka. Msemo wenyewe ni kama hivi "Hakuna revenge nzuri kwa mwanamke alieku kucheat kama kumuachia mwanamme alocheat nae amchukuwe waondoke huku ukitabasamu".

Hakuna sababu ya kujikuta unajiharibia maisha yako kwa kwenda jela kwa kosa la kuua au kupia mtu. Demu kama ameamua kukucheat, ina maana hakuthamini na hakupendi sasa ya nini kulazimisha penzi? Hata kama umemgharimikia nini huko nyuma mkeo anapoamua kutembea na mwanamme mwengine basi jua kuwa maisha yenu ya amani na utulivu kama mke na mume ndio yamefikia tamati. Kuna haja gani ya kujitia maradhi ya moyo bure, kila mkeo akitoka unamtilia wasi wasi, asipojibu simu unamtilia wasi wasi, akisema anakwenda nyumbani kusalimia wazazi unapanda pressue za wasi wasi, why? Wanawake wamejaa tele tafuta mwengine upende tena!
 
Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Nakubaliana nawe 100% wanaume tujifunze kuwa wastaarabu na wavumilivu wa mambo. Mwanamke ameamua kukusaliti maana yake hana mapenzi nawe tena hata kama akikupigia magoti na kukuomba msamaha, ukae ukijua kuwa kila akikaa atakuwa anamuwaza mpenzi wake wa nje tu!
 
Yeye alitumia hasira kubilingishana na mkewe barabarani. Wewe nae unatumia hasira kucoment. Fun enough, unaweza Kuta muda huu Kila kitu kipo sawa kati yao.

Calm down

wewe nawe ndio unaandika upupwu gani? jiseme umepata hasira kunisoma.. huyo mwenzako kitabia itakuwa..
 
Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Feminist katika ubora wako.

Wanawake mnajiona(ga) special sana na mnafaa kufanya lolote. Hii video ingekuwa mwanaume ndiye amekabwa wala usingetukana.
 
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Subiri uoe ndio utaelewa maudhi ya wanawake
 
Aisee naona siku hizi matukio ya kuchapana yanazidi kuongezeka kwenye ndoa,ili kuepuka kuozea jela na kupelekana futi 6 mkishindwana muachane kistaarabu

Cheki video hiyo
 
Kama una akili vizuri kabisa na unauwezo wa kufikiri...

NDoa sio sehemu nzuri ya kuingia

Ndoa zipo kwa watu wasio na logic ni special for emmotional people

Hakuna genius dunian aliekuwa ameoa

Hata yesu kukaa kwake duniani kote miaka 33 hakuoa hujiulizi? Why
 
Kama una akili vizuri kabisa na unauwezo wa kufikiri...

NDoa sio sehemu nzuri ya kuingia

Ndoa zipo kwa watu wasio na logic ni special for emmotional people

Hakuna genius dunian aliekuwa ameoa

Hata yesu kukaa kwake duniani kote miaka 33 hakuoa hujiulizi? Why
Daaa naona kataa ndoa mmepata mwanya hapa[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom