Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kumbe sababu ya ndoa ni Nini? Ushawahi kujiuliza kwann mahanithi (wasiosimamisha mdudu ) hawaruhusiwi kufunga ndoa?Kumbe watu wanaoa na kuolewa kwa sababu ya ngono? lazima zivunjike ... tena zisambaratike zote. kuna umuhimu wa kujua kwa nini watu wanaoa na kuolewa. ngono itawaponza mtakosa maana ya ndoa mkiendekeza mawazo ya ngono.
KATAA NDOANdoa tena?!
Kwa hiyo wazee wa kataa NDOA wako sawa? 🤣🤣Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu walizonieleza ni zile zile nilizopewa mimi kwamba tunadharau,matusi yasiovumilika wao hawana shida na michepuko yetu hata wawe mia tutajijua wenyewe ila matusi dharau mbele ya watoto kuwaona dhaifu na kawaona kama tunawafuga ndio kitu walichoshindwa kuvumilia.
Kama hujaoa kijana mwenzangu hakuna haja ya kuoa
Ndoa hazina maana ktk karne hii. Lengo kuu la ndoa ni ngono Sasa kama ngono inapatikana kwa urahisi na kwa masharti nafuu kabisai, kwann uingie kwenye ndoa
Wale mafala wapo sahihi aiseeKwa hiyo wazee wa kataa NDOA wako sawa? 🤣🤣
Naungana na weweKATAA NDOA
Sipingi hili kakaNDOA NI UJAMBAZI
KATAA NDOA
SawasawaKATAA NDOA
Any thoughts??Duh aiseee
[emoji3596]Kumbe watu wanaoa na kuolewa kwa sababu ya ngono? lazima zivunjike ... tena zisambaratike zote. kuna umuhimu wa kujua kwa nini watu wanaoa na kuolewa. ngono itawaponza mtakosa maana ya ndoa mkiendekeza mawazo ya ngono.