Ndoa zinakufa kila kukicha siku hizi

Ndoa zinakufa kila kukicha siku hizi

Ndoa ni taasisi imara, ukiipinga ndoa unataka jamii ya watu wa hovyo.
 
Ndoa hazina maana ktk karne hii. Lengo kuu la ndoa ni ngono Sasa kama ngono inapatikana kwa urahisi na kwa masharti nafuu kabisai, kwann uingie kwenye ndoa?
Kwa hiyo wa kulaumiwa ni wanawake kwa kutunuku mbususu kama njugu?!
 
Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu walizonieleza ni zile zile nilizopewa mimi kwamba tunadharau,matusi yasiovumilika wao hawana shida na michepuko yetu hata wawe mia tutajijua wenyewe ila matusi dharau mbele ya watoto kuwaona dhaifu na kawaona kama tunawafuga ndio kitu walichoshindwa kuvumilia.

Kama hujaoa kijana mwenzangu hakuna haja ya kuoa
Duuh umekuwa msela tena.....
 
Back
Top Bottom