King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ndoa na iheshimiwe na watu wote(wana ndoa) , mmoja asipoheshimu ndoa hapo lazima ivunjike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapuuzi ndiyo wanaoakwa kauli hii naomba niandike kitu kigumu kidogo kwa kadri nionavyo mimi.
pia inawezekana ipo ajenda ya siri ya kuitawala Afrika kwa njia nyingine ikiwemo kupunguza kuzaliana kwao.
kwa kuwa ndoa huongeza familia kwa kiasi kikubwa.
yapo mengi lakini kiukweli usikubali kauli ya kukataa ndoa.
- kukataa ndoa ni nje ya maadili yetu kama waafrika na jamii kiukweli haiwezi kukuheshimu na hasa ukiwa mwanaume. unaonekana hujakamilika hataka kama unawatoto na shughuli zako wanazijua lakini lazima udharauliwe.
- unaonekana huwezi kuwa na majukumu na huwezi kuaminika.
- unawaongezea watu dhambi ya kukujadili kila kukicha.
- unaonekana mvivu na mchoyo kiasi kuwa umejiwekea wigo wa peke yako.
- yapo mazingira ya kujikataa na matokeo yake yanaweza kuwa:-
- kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
- umalaya kupita kiasi
- ulevi na utumiaji wa madawa ya kulevya
- uvivu na malalamiko
- magonjwa ya kuambikiza na yasiyoambukiza
- kuwa mbali na ibada na kudharau imani za wengine.
wanawake wao hawanajinsi asipotokea wanafanyaje lakini kwa kijana wa kiume kukataa ndoa ni kutokukamilika.
binafsi natamani iwe hivyo kabisa kwa kifupi mshukuru sana MWENYEZI MUNGU na kunawakati tafuta hata sadaka kwa ndoa yako.Haya nimekuwa nikiambiwa miaka yote tangu naoa hadi leo siyaoni yakinifika,sisemi ni mazuri hasha.
Mimi ni mwepesi wa kujifunza na hii yako naichukua kama lessons ukichukulia maisha hayana mwalimu,naendelea kujifunza bado sijamaliza.
hebu tuelekeze vizuri njoo kwetu na angalau ushawishi mpana huwenda hatukuelewi vizuri.wapuuzi ndiyo wanaoa
endeleeni kuibiwa huko na hao wezi
NDOA NI LAANA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
Wajinga Ndiyo wanaoliwahebu tuelekeze vizuri njoo kwetu na angalau ushawishi mpana huwenda hatukuelewi vizuri.
ikiwezekana tueleze kwa hatua kwanini ndoa haifai na maeneo matatu ya ukuaji wetu unaweza kutufaa. yaani kuanzia, ujana,utu uzima na uzeeni.
tusaidie tafadhari (utoe muda wako kama sadaka kutueleza kwa uaminifu kwanini iwe hivyo).
Nyie mnahaki ya kupigwa chiniMitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu walizonieleza ni zile zile nilizopewa mimi kwamba tunadharau,matusi yasiovumilika wao hawana shida na michepuko yetu hata wawe mia tutajijua wenyewe ila matusi dharau mbele ya watoto kuwaona dhaifu na kawaona kama tunawafuga ndio kitu walichoshindwa kuvumilia.
Kama hujaoa kijana mwenzangu hakuna haja ya kuoa
hii imetoka wapi tena?Wajinga Ndiyo wanaoliwa
engineer anaingiaje tena hapo ?hii imetoka wapi tena?
engineer ni mtu mkubwa sana kila tukionacho engineer kahusika hivyo bado hujasema.
IoT Engineer, Automation Hobbyist And M2M Enthusiastengineer anaingiaje tena hapo ?
nimeandika tu hiyoIoT Engineer, Automation Hobbyist And M2M Enthusiast
ok sorrynimeandika tu hiyo
Hajawahi kuwa kwenye ndoa.hebu tuelekeze vizuri njoo kwetu na angalau ushawishi mpana huwenda hatukuelewi vizuri.
ikiwezekana tueleze kwa hatua kwanini ndoa haifai na maeneo matatu ya ukuaji wetu unaweza kutufaa. yaani kuanzia, ujana,utu uzima na uzeeni.
tusaidie tafadhari (utoe muda wako kama sadaka kutueleza kwa uaminifu kwanini iwe hivyo).
Kuzaa hata mahawara wanaozaa. Ndoa ilianzishwa kwa lengo la kuepusha uzinifu yaani ngono ifanyike kwa walengwa tu.moja ya lengo la ndoa ni kuzaliana. ili kuzaliana ndio kuna hicho kipengele cha ngono. Hatuwezi kufunga ndoa kwa ajili ya ngono tu. Lazima uangalie na malengo mengine. na ndio sababu ndoa zote zinazolenga ngono tu zinakufwaaa na kusambaratika.
Bila ndoa hatuzaliani??
Barikiwa sanausiogope! watu wangeelewa kuwa chombo baharini kinaweza kuzama wasingejaribu kupanda. lakini wengi wanaopanda wanauhakika watafika salama hivyo karibu.
Me nasimamia hapa!Ndoa kabla hazijafungwa
Watu wapimwe afya zao za akili kwanza.
Siku hizi kuna ndoa hazifati hata msingi wa ndoa.
Imagine ndoa inafungwa mke anafanya kazi na kuishi Dar. Mume anafanya kazi na kuishi Musoma.
Imagine ni Wanandoa ila kila mtu anaishi kwake. Toka ndoa inaanza mpaka inakwisha wanandoa hawajawai hata kuishi pamoja
Jifunze, kwa, waliofanikiwa, kwenye ndoa,Lowasa, Samuel Sita, Kusaga, David Beckham, wewe usiangalie ndoa zilizovunjika za, watu wadogo(ki akili, na fedha), MTU elimu ya, degree tu imemtoa kamasi,MTU ambae wivu unamsababishia msongo wa mawazo.zipo ndoa mbovu zipo na zenye neema kubwa! Fatilia ndoa ya, Bill gates, ilivyovunjika, hakuna ma drama meeengi ya kipuuzi! Akili kubwa. Unaolewa, lakini bado una hamu na pipe ya kipenzi, cha zamani, unataka Kodi ya fremu,ka ist, na bring bring kibao, kutoka kwa boss, lqzima utamegwa tu! Mpaka unakuja kuoa, kuolewa, umeishakalia pipe 10+, umeishaingia kwenye visima 10+! Unajua Radha tofauti, makeover, mumeo hataweza kukutosha! Only a miracle will save you!Ukiangalia kwa umaniki ndoa ni upuuzi fulani hivi,
Kwanini nilipoofikia ni kudra tu za mwenyenzi mungu,unaishi chumba kimoja na mwanamke sijamuona yuna makinda wawili ila anamadharau sana