Amini mkuu ninachosema, watu wanaoa malaya miaka hii.Tema mate chini mkuu๐๐๐
Kwa hiyo wa kulaumiwa ni wanawake kwa kutunuku mbususu kama njugu?!Ndoa hazina maana ktk karne hii. Lengo kuu la ndoa ni ngono Sasa kama ngono inapatikana kwa urahisi na kwa masharti nafuu kabisai, kwann uingie kwenye ndoa?
komando pekee aliyeweza date na singo maza wawili KWA MKUPUOKomando nakazia
Mbususu siku hizi hutolewa hata kwa mkopo. Yaani unaipiga mbususu leo halafu buku mbili yake unampatia baada ya wiki moja.Kwa hiyo wa kulaumiwa ni wanawake kwa kutunuku mbususu kama njugu?!
๐๐Wap uko.ukipiga mahesabu ni bora ununue kuliko kumilik girl n cost.Mbususu siku hizi hutolewa hata kwa mkopo. Yaani unaipiga mbususu leo halafu buku mbili yake unampatia baada ya wiki moja.
Huku uswazi:- Manzese, Kwamtogole, Vingunguti, Buza, Mbagala Maji Matitu na Mtoni kwa Azizi Ally๐๐Wap uko
Duuh umekuwa msela tena.....Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu walizonieleza ni zile zile nilizopewa mimi kwamba tunadharau,matusi yasiovumilika wao hawana shida na michepuko yetu hata wawe mia tutajijua wenyewe ila matusi dharau mbele ya watoto kuwaona dhaifu na kawaona kama tunawafuga ndio kitu walichoshindwa kuvumilia.
Kama hujaoa kijana mwenzangu hakuna haja ya kuoa