Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Anaukwaa upmNimependa hizo herufi ulizoziweka aya ya pili kutoka mwisho, K na R.
K - yaweza wakilisha Kikwete n.k
R - yaweza wakilisha Ridhiwan n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaukwaa upmNimependa hizo herufi ulizoziweka aya ya pili kutoka mwisho, K na R.
K - yaweza wakilisha Kikwete n.k
R - yaweza wakilisha Ridhiwan n.k
Jamaa wa ikulu kanipuna hela yangu
Hapana mkuu mm ni member mkongwe kabisa hapa jukwaani...nipo tokea 2009 do the math bro...plus huyo Eli hata simjui....Mkuu wewe si @eli79 kweli. Dah kama kweli Kwa nini ulibadilisha jina?
Mshana hivi kuota mwenge unazima au unaanguka ina maana gani?Aah wapi najua unachohofia..[emoji23]
Nani huyo tena?Tuwe makini 2025/30 huenda tukapata raisi choko [emoji23][emoji1787]
Herufi pekee Bila kupepesa macho mtu ataijua ni "JK" hizo nyinginezo sio Rahisi!Herufi sijaiweka hapa maana nikiiweka tu kila mtu atamjua,herufi naogopa kuitaja maana ntaleta taharuki kwa muhusika.Lakini sijui nini kitamtokea MAMA hausiki kabisa na hii ndoto mwacheni ale BATA bila wasi wasi
Wataanza na shina kwao kumstaafisha mstaafu halafu HUYO mwingine atakaa pembeni mwenyewe!Herufi sijaiweka hapa maana nikiiweka tu kila mtu atamjua,herufi naogopa kuitaja maana ntaleta taharuki kwa muhusika.Lakini sijui nini kitamtokea MAMA hausiki kabisa na hii ndoto mwacheni ale BATA bila wasi wasi
Ni Ishara ya moto wa kichawi kuzimikaMshana hivi kuota mwenge unazima au unaanguka ina maana gani?
Jibu la swali lako lipo kwenye maana ya hii methari ya NGURUWE KAVAA HIJABUAsalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia minong'ono ya kuhusu MISS Tanzania halafu mashindano yenyewe yanafanyika mwezi wa kumi na mbili yaani December.
Basi ghafla kuna mtu akanifungulia file ananionyesha washiriki na watu watatu ambao wanaweza kushinda. File lilikuwa na picha na majina ya wagombea. Washiriki walikuwa wengi lakini nikamulikiwa taa kwenye watu watatu ikawa kama wengine hawaonekani vizuri wamezibwa na kiza.
Kuna mtu mmoja sasa katika wale watu watatu taa ikamulika sana kwenye jina na picha yake coz yeye ndio atayeshinda, ilimulika mfano wa indicator za gari zinavyoashiria kwamba gari inapita kulia au kushoto, yaani ilikuwa inafanya muli muli muli muli, jambo lililonishangaza ni:
1. Mwanasiasa wa kiume anawezaje kuja kushinda MISS TANZANIA?
2. Je ni kweli kwamba mwezi wa kumi na mbili kutakuwa na shindano la Miss Tanzania.
3. Kwanini herufi ya mwanzo ya jina lake ilikuwa inaleta majina tofautu tofauti mengi kwa staili ya kimuli muli mpaka nikashindwa kulisoma vizuri, yaani jina ni la fulani lakini likawa linajichanganya changanya na majina mengine lakini herufi ya mwanzo ni hiyohiyo?
Yaani kama ni K au R ni hiyo hiyo
NB: Haya sio maono bali ni ndoto tu ya kawaida jamani lakini inaweza kuwa na uhalisia wa jambo fulani
Kwa ujiniasi wangu ...mambo ya hatari na yakutisha ndiyo yanayo takiwa sasahivi Tanzania ...wala siyo wakati wa kuyaombea yasitokee .na yasipo tokea mambo ya hatari kwa wakati huu tuliopo basi tumekwisha narudia tumekwishaHuyu mtu ndoto zake zote zinatimia! Kama ni hatari tuambie tuombee Taifa ila kama ni vinginevyo ngoja tuwe na subira. Ndio maana wenye akili nyakati hizi hazitaki ushabiki! Mambo yanaweza kubadilika ukakosa pa kuweka sura.
Jamani kwani kuna nini kimetokeadah huyu jamaa
Mwenge ni mwanga na ni moto... Kuzimika kwake ama kuanguka kunaashiria kushindwa jambo ama kifoMshana hivi kuota mwenge unazima au unaanguka ina maana gani?
Mwenge ni mwanga na ni moto... Kuzimika kwake ama kuanguka kunaashiria kushindwa jambo ama kifoMshana hivi kuota mwenge unazima au unaanguka ina maana gani?