Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM..na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha....lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza... Magufuli..anaweza kuvunja mwiko huu....au mazoea yatatamalaki tena?
We unataka waziri mkuu mwanamke ili ufaidike na nini??
 
Unamaanisha Ummy Mwalimu atateuliwa kuwa waziri mkuu?
mhe.anapenda wanawake weupe...nadhan Ummy anafaa
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Do you have any names in mind?
 
Karibu Mzee
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena
Karibu Mzee Mwanakijiji.
Hii ndoto inaweza kutimia lakini wewe si mtu wa ndoto ni mtu wa kutupa uchambuzi ulioshiba.
Karibu muungwana!!
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?

😁😁😁 labda ndalichako ndiyo anaweza...tofauti na hapo sijaona mwanamke wa kuwa waziri mkuu kwenye huu utawala wa Magufuli
 
Jana niliona mbunge flani white anaapishwa, jina lilianza na Kabula.
 
Hatuna demokrasia anaweza kuweka yeyote hata mke wake anaweza kumteua mbunge na kumpa waziri mkuu. Usiongelee miaka iliyopita hakuna demokrasia tena kwenye hii Tanzania mpya.
Umecoment ujinga sana ,,fuata mada ,,acha chuki za kijinga
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Tulia Aksson - Waziri Mkuu Mpya -Tanzania
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Wazo zuri sana hili. Ila Majaliwa anaendelea tena.
 
A
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Anjela Kairuki atafaa sana kuwaa Waziri mkuu
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Wewe kwa watanzania makini ni mnafiki ambae unaona kikosi kimekaa vizuri kwa mpambano wa kuleta maendeleo ya wananchi alafu unataka kikosi kiharibu safu yake ili wananchi wasipate maendeleo.

Habari za jinsia wapelekee watu wa Finland.
 
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Vyovyote vile sisi ni watazamaji wapendwa,na wasjkilizaji wapendwa karibuni wote.
 
Back
Top Bottom