Nchi kama Tanzania kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi ni gharama kubwa sana.
Nimeona hili first hand kutoka kwa rafiki zangu wawili ambao baba zao waliwahi kuwa mawaziri wakuu Tanzania.
Sasa hivi tunawahudumia Salim, Malecela, Msuya, Warioba, Sumaye, Pinda na Lowassa kama mawaziri wakuu wa zamani. Saba hao.
Tuongeze wa nane?
Hivyo, kama hakuna sababu ya msingi, kama uvunjwaji wa maadili, Waziri Mkuu aendelee yuleyule tu.
After all, mambo yote yanaendeshwa kwa "amri kutoka juu", kwa hiyo, it's not like Waziri Mkuu atabadilisha lolote la maana.