fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Jokate mwegelo je?[emoji16][emoji16][emoji16] labda ndalichako ndiyo anaweza...tofauti na hapo sijaona mwanamke wa kuwa waziri mkuu kwenye huu utawala wa Magufuli
Jokate mwegelo je?[emoji16][emoji16][emoji16] labda ndalichako ndiyo anaweza...tofauti na hapo sijaona mwanamke wa kuwa waziri mkuu kwenye huu utawala wa Magufuli
Wazo zuri sana hili. Ila Majaliwa anaendelea tena.
Ikiwa ni mwanamke huyu chaguo la kwanzaHii Ni ramli chonganishi.
Cc Dr Tulia
Kabisa KirangaYani kwa utawala huu wa amri kutoka juu hata paka ataweza kuwa waziri mkuu.
Anaenda bungeni analia tu nyauu, nyauu, wabungw wanapitishq kila kitu bila maswali wala mjadala.
Akienda ziarani kwa wananchi analia nyauu, nyauu, wananchi wanashangilia ubunifu wa Magufuli kutuletea muujiza wa Waziri Mkuu paka!
Ndalichako.Kwa mwanamama unamuona nani anastahiki?
Jenister@?[emoji1][emoji1]
..anaweza kuwa Ummy Mwalimu.
..au Dr.Ashatu Kijaji.
Unao ushahidi kwamba hakuna demokrasi? Hizi baseless accusations hazisaidii kitu.Hatuna demokrasia anaweza kuweka yeyote hata mke wake anaweza kumteua mbunge na kumpa waziri mkuu. Usiongelee miaka iliyopita hakuna demokrasia tena kwenye hii Tanzania mpya.
Jokate mwegelo je?
Kila miaka mitano mawaziri wakuu wa zamani wote saba wananunuliwa ma VX mapya. Kila mmoja anapata mawili akichagua.Mwisho wa siku hao na watoto wao ndio wenye nchi na pato la nchi ndio kazu yake hiyo.
Imagine Tanzania kuna watumishi laki 5 kati ya watanzania Milioni 60 serikali na hawahudumiwi ipasavyo.
Mtumishi wa umma hata akistaafu baadavya kutumikushwa miaka 30 pension haifiki milioni 100 ingawa hatavyenyewe possibly asipewe.
So, wewe unadhani ni nani mtafunaji wa keki ya taifa ?
Smtimes naona sio kesi saaanaKila miaka mitano mawaziri wakuu wa zamani wote saba wananunuliwa ma VX mapya. Kila mmoja anapata mawili akichagua.
Piga hesabu ya ma VX 14 tu.
Hapo hujaingia kwenye mafuta na marupurupu na mazagazaga mengine.
Sina tatizo na hao waliopo kupewa hayo, ni haki yao kisheria.Smtimes naona sio kesi saaana
Nchi hii ina VX ngapi za umma?
Wanajua siri nyingi za nchi
Wakiwa na njaa watawauza kwa maadui
Sina tatizo na hao waliopo kupewa hayo, ni haki yao kisheria.
Tatizo langu ni hili.
Kwa nini tunataka kuongeza Mawaziri Wakuu wastaafu wengine bila sababu ya msingi?
Majaliwa akiwa mstaafu maana yake mpya ataongezwa na huyu Majaliwa anaenda kuwa wa nane kwenye list ya wastaafu.
Badala ya ma VX 14, tunaenda 16.
Na gharama za kuyaendesha ni kubwa sana.
Hapo hujaongelea mshahara, marupurupu, nyumba etc, zote gharama ya serikali. Hawa wastaafu hata gardeners wao wanalipwa na serikali.
Bajeti ya Waziri Mkuu mstaafu mmoja inaweza kutoa huduma nzuri za jamii kwa vijiji kadhaa kwa mwaka mzima.
Kwa nini tunapenda kubadilisha ma PM bila sababu wakati wakistaafu wanatugharimu sana?
Halafu umeandika jambo muhimu sana la kujua siri za umma.
If at all unakubali suqla la siri za umma, katika mambo ya security, unavyozidisha wafanyakazi wapya kuanza kazi na kuacha kazi, ndivyonunavyozidisha security risk.
In other words, unavyozidi kuwa na watu wengi ambao wamefika ngazi ya kuwa Waziri Mkuu, ndivyo unavyoongeza security risk ya mmoja wao ku leak information.
Kwa hivyo, kama hakuna sababu muhimu kumuondoa, kama ya kimaadili, PM aendelee tu miaka mitano mingine.
[emoji16][emoji16][emoji16] labda ndalichako ndiyo anaweza...tofauti na hapo sijaona mwanamke wa kuwa waziri mkuu kwenye huu utawala wa Magufuli
Uwaziri mkuu siyo viti maalumu.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?