Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.

Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Hatuangalii jinsia tunaangalia uwezo hiyo ndio dira yetu.....so mawazo ya kusema ni lazima kuwe na mwanamke ni ya kijima. Lakini akipatikana mwanamke mwenye uwezo wa kazi hiyo ni sawa.
 
Back
Top Bottom