Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
We unataka waziri mkuu mwanamke ili ufaidike na nini??Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM..na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha....lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza... Magufuli..anaweza kuvunja mwiko huu....au mazoea yatatamalaki tena?
Do you have any names in mind?Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Karibu Mzee Mwanakijiji.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Umecoment ujinga sana ,,fuata mada ,,acha chuki za kijingaHatuna demokrasia anaweza kuweka yeyote hata mke wake anaweza kumteua mbunge na kumpa waziri mkuu. Usiongelee miaka iliyopita hakuna demokrasia tena kwenye hii Tanzania mpya.
Tulia Aksson - Waziri Mkuu Mpya -TanzaniaInawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Wazo zuri sana hili. Ila Majaliwa anaendelea tena.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Anjela Kairuki atafaa sana kuwaa Waziri mkuuInawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Wewe kwa watanzania makini ni mnafiki ambae unaona kikosi kimekaa vizuri kwa mpambano wa kuleta maendeleo ya wananchi alafu unataka kikosi kiharibu safu yake ili wananchi wasipate maendeleo.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Vyovyote vile sisi ni watazamaji wapendwa,na wasjkilizaji wapendwa karibuni wote.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?