Kama ni maendeleo mbona thmesha yapata ya kisayansi na matokeo ya ushindi tumeyaona?Wewe kwa watanzania makini ni mnafiki ambae unaona kikosi kimekaa vizuri kwa mpambano wa kuleta maendeleo ya wananchi alafu unataka kikosi kiharibu safu yake ili wananchi wasipate maendeleo.
Habari za jinsia wapelekee watu wa Finland.
Ndiyo ukweli huo sio chuki amka usiwe msukuleUmecoment ujinga sana ,,fuata mada ,,acha chuki za kijinga
Nchi kama Tanzania kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi ni gharama kubwa sana.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Mkuu, kwanini unahisi Tanzania inahitaji kuwa na waziri mkuu mwanamke baada ya miaka 60 ya Uhuru? Kwanini umetanguliza mbele zaidi jinsia ya mtu badala ya utendaji kazi wake?Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Yani kwa utawala huu wa amri kutoka juu hata paka ataweza kuwa waziri mkuu.Waweke hata paka
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Uko sahihiNchi kama Tanzania kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi ni gharama kubwa sana.
Nimeona hili first hand kutoka kwa rafiki zangu wawili ambao baba zao waliwahi kuwa mawaziri wakuu Tanzania.
Sasa hivi tunawahudumia Salim, Malecela, Msuya, Warioba, Sumaye, Pinda na Lowassa kama mawaziri wakuu wa zamani. Saba hao.
Tuongeze wa nane?
Hivyo, kama hakuna sababu ya msingi, kama uvunjwaji wa maadili, Waziri Mkuu aendelee yuleyule tu.
After all, mambo yote yanaendeshwa kwa "amri kutoka juu", kwa hiyo, it's not like Waziri Mkuu atabadilisha lolote la maana.
Acha kudharau nafasi ya waziri mkuu na kuifananisha na paka/nyau. Pasipo kujali aidha ni CCM, CHADEMA, CUF, ACT au chama chochote cha siasa ndio kinachounda serikali, ofisi/kiti cha waziri mkuu ni lazima kipewe heshima/hadhi yake. Acha matusi/kejeli za kitoto.Yani kwa utawala huu wa amri kutoka juu hata paka ataweza kuwa waziri mkuu.
Bwana huyu hashindwi na kitu kama kaweza kulifanya bunge lote la utawala wa awamu ya 6 kuwa bunge la viti maalum basi hata hilo hatoshindwa kwa utashi wakeInawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Rais alimwambia Waziri Mkuu kwamba yeye Rais atampiga shangazi wa Waziri Mkuu.Acha kudharau nafasi ya waziri mkuu na kuifananisha na paka/nyau. Pasipo kujali aidha ni CCM, CHADEMA, CUF, ACT au chama chochote cha siasa ndio kinachounda serikali, ofisi/kiti cha waziri mkuu ni lazima kipewe heshima/hadhi yake. Acha matusi/kejeli za kitoto.
Sijawahi kuikubali dhana ya kumteua/kumchagua mtu kwa influence ya jinsi yake.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Labda ajichubue kwanza awe mweupe peeeTulia Aksson - Waziri Mkuu Mpya -Tanzania
Pamoja na kuwa Mke wake anaitwa Mary
Still bado hatoshi?Taasisi haijaridhika bado?
Jina la Kassim linawakera?
Sasa gia ya kuzuga jinsia ndo mnataka mtumie?? Mbona spika hukutaka mwanamke?
Pathetic
Mdau anajaribu kufikiria upande mwingine kitu ambacho sio dhambi!. Kama tunavo jaribu kufikiria kuwapa mamlaka wapinzani kuongoza nchi!!We unataka waziri mkuu mwanamke ili ufaidike na nini??