Ndoto: Ni wakati wa kumteua Waziri Mkuu Mwanamke?

Kabisa Kiranga
 
Hatuna demokrasia anaweza kuweka yeyote hata mke wake anaweza kumteua mbunge na kumpa waziri mkuu. Usiongelee miaka iliyopita hakuna demokrasia tena kwenye hii Tanzania mpya.
Unao ushahidi kwamba hakuna demokrasi? Hizi baseless accusations hazisaidii kitu.
 
JPM ataendelea kufanya ya kwake, na nyinyi mkiwa marais chagueni wakwenu.
 
Kila miaka mitano mawaziri wakuu wa zamani wote saba wananunuliwa ma VX mapya. Kila mmoja anapata mawili akichagua.

Piga hesabu ya ma VX 14 tu.

Hapo hujaingia kwenye mafuta na marupurupu na mazagazaga mengine.
 
Kila miaka mitano mawaziri wakuu wa zamani wote saba wananunuliwa ma VX mapya. Kila mmoja anapata mawili akichagua.

Piga hesabu ya ma VX 14 tu.

Hapo hujaingia kwenye mafuta na marupurupu na mazagazaga mengine.
Smtimes naona sio kesi saaana
Nchi hii ina VX ngapi za umma?

Wanajua siri nyingi za nchi
Wakiwa na njaa watawauza kwa maadui
 
Smtimes naona sio kesi saaana
Nchi hii ina VX ngapi za umma?

Wanajua siri nyingi za nchi
Wakiwa na njaa watawauza kwa maadui
Sina tatizo na hao waliopo kupewa hayo, ni haki yao kisheria.

Tatizo langu ni hili.

Kwa nini tunataka kuongeza Mawaziri Wakuu wastaafu wengine bila sababu ya msingi?

Majaliwa akiwa mstaafu maana yake mpya ataongezwa na huyu Majaliwa anaenda kuwa wa nane kwenye list ya wastaafu.

Badala ya ma VX 14, tunaenda 16.

Na gharama za kuyaendesha ni kubwa sana.

Hapo hujaongelea mshahara, marupurupu, nyumba etc, zote gharama ya serikali. Hawa wastaafu hata gardeners wao wanalipwa na serikali.

Bajeti ya Waziri Mkuu mstaafu mmoja inaweza kutoa huduma nzuri za jamii kwa vijiji kadhaa kwa mwaka mzima.

Kwa nini tunapenda kubadilisha ma PM bila sababu wakati wakistaafu wanatugharimu sana?

Halafu umeandika jambo muhimu sana la kujua siri za umma.

If at all unakubali suala la siri za umma, katika mambo ya security, unavyozidisha wafanyakazi wapya kuanza kazi na kuacha kazi, ndivyo unavyozidisha security risk.

In other words, unavyozidi kuwa na watu wengi ambao wamefika ngazi ya kuwa Waziri Mkuu, ndivyo unavyoongeza security risk ya mmoja wao ku leak information.

Kwa hivyo, kama hakuna sababu muhimu kumuondoa, kama ya kimaadili, PM aendelee tu miaka mitano mingine.
 

In connection to hili suala la ''siri za ndani za serikali'', nimejikuta nawafikiria sana wale wastaafu wawili ambao kwa kipindi fulani walienda upinzani.... Anyways tufanye waliheshimu ''kiapo'' chao.
 
Uwaziri mkuu siyo viti maalumu.
Aangalie uchapa kazi.
Majaliwa aendelee.
 

Inawezekana kabisa.
1. AshaRose Migiro
2. Dkt. Angelina Lubala Mabula

Hawa wawili wanafaa kwenye hiyo nafasi
 
Mbona mnamletea figisu Majaliwa...

Anaendelea. Kafanya vizuri mnoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…