TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Juliana Shonza!Aida khenani?
Ummy Mwalimu √
Hata mama ake anaweza kumteua na sisi tukashangilia.Hatuna demokrasia anaweza kuweka yeyote hata mke wake anaweza kumteua mbunge na kumpa waziri mkuu. Usiongelee miaka iliyopita hakuna demokrasia tena kwenye hii Tanzania mpya.
Hata akiteua asiyekuwa na jinsia haitatusaidia.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Kabudi, Kabudi.Aida khenani?
Ummy Mwalimu √
Vipi haukuona wizi wa kura kwenye uchaguzi??Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
Naona Mh ameamua kupunguza cost.,wamempa leo Mh.Kassim Majaliwa MajaliwaSina tatizo na hao waliopo kupewa hayo, ni haki yao kisheria.
Tatizo langu ni hili.
Kwa nini tunataka kuongeza Mawaziri Wakuu wastaafu wengine bila sababu ya msingi?
Majaliwa akiwa mstaafu maana yake mpya ataongezwa na huyu Majaliwa anaenda kuwa wa nane kwenye list ya wastaafu.
Badala ya ma VX 14, tunaenda 16.
Na gharama za kuyaendesha ni kubwa sana.
Hapo hujaongelea mshahara, marupurupu, nyumba etc, zote gharama ya serikali. Hawa wastaafu hata gardeners wao wanalipwa na serikali.
Bajeti ya Waziri Mkuu mstaafu mmoja inaweza kutoa huduma nzuri za jamii kwa vijiji kadhaa kwa mwaka mzima.
Kwa nini tunapenda kubadilisha ma PM bila sababu wakati wakistaafu wanatugharimu sana?
Halafu umeandika jambo muhimu sana la kujua siri za umma.
If at all unakubali suala la siri za umma, katika mambo ya security, unavyozidisha wafanyakazi wapya kuanza kazi na kuacha kazi, ndivyo unavyozidisha security risk.
In other words, unavyozidi kuwa na watu wengi ambao wamefika ngazi ya kuwa Waziri Mkuu, ndivyo unavyoongeza security risk ya mmoja wao ku leak information.
Kwa hivyo, kama hakuna sababu muhimu kumuondoa, kama ya kimaadili, PM aendelee tu miaka mitano mingine.
Mimi nilikuwa ninakukumbusha tu mkuu. Wewe endelea na siasa mimi sipo huko.Rais alimwambia Waziri Mkuu kwamba yeye Rais atampiga shangazi wa Waziri Mkuu.
Kwa dharau kubwa sana. Kwenye hotuba ya wazi.
Waziri Mkuu akanywea tu .
Mimi sijadharau Ofisi ya Waziri Mkuu. Mama yangu alifanya kazi hapo.
Naeleza tu ukweli kwamba Ofisi hii siku hizi imedharaulika sana. Kiasi hata paka anaweza kufanya kazi ya Waziri Mkuu.
Kwa sababu maamuzi yote yanatolewa kwa "amri kutoka juu".
Waziri Mkuu ni picha la maboksi tu.
Sasa Magufuli kajamba katikati ya kadamnasi. Kamtukanisha Waziri Mkuu. Kaikosea heshima ofisi ya Waziri Mkuu.
Mimi nasema tu Magufuli kajamba. Katikati ya kadamnasi. Kaivunjia heshima ofisi ya Waziri Mkuu.
Badala ya kumsema Magufuli aliyejamba, unanisema mimi ambaye nasema ukweli tu kwamba Magufuli kajamba?
Mimi sijadharau Ofisi ya Waziri Mkuu. Mama yangu alifanya kazi ofisi hiyo siwezi kuidharau.
Naonesha tu ofisi ilivyodharaulika siku hizi.
Tanzania kuna Siri gani ?In connection to hili suala la ''siri za ndani za serikali'', nimejikuta nawafikiria sana wale wastaafu wawili ambao kwa kipindi fulani walienda upinzani.... Anyways tufanye waliheshimu ''kiapo'' chao.
Bora umeichana hiyo Mbuzi, mijitu MinafikiiiiiiiVipi haukuona wizi wa kura kwenye uchaguzi??
Kwako umeona kila kitu kipo sawa tu sio..?!
Hauna maana..MNAFIKI mkubwa wewe.
Mbuzi kabisa hiyo.Bora umeichana hiyo Mbuzi, mijitu Minafikiiiiiii
Kiungo cha tendo la ndoa/ ngono kina mchango gani katika utendaji kazi za ofisi?Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?
I do not subscribe to your petty puritanism.Mimi nilikuwa ninakukumbusha tu mkuu. Wewe endelea na siasa mimi sipo huko.
Ungemuomba pia avunje mwiko wa kuchakachua kura za wananchi.Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza.
Rais Magufuli anaweza kuvunja mwiko huu au mazoea yatatamalaki tena?