Ndoto tunazoota na tafsiri zake

ni kosa la kisheria kusimulia ndoto za vifo,kuwa makini ndugu yangu
 
Samahan eti ukiota unafanya mtihani na mda ukaisha na ukashindwa kumaliza maana yake nn
 
mimi naotaga sana mambo ya shule ya msingi kabisa...
ila nafikiri ni mkusanyiko wa mawazo ya shule ya mchana kutwa
..
maana mm binafsi nmeshindwa kuendelea na shule kwahiyo nakua naumia ndo mana naota ota
 
Bata ni roho ya ufiraji, jichunguze yawezekana unapenda au kuvutiwa na kula tigo
Mkuu Mimi niliota Marehemu Baba yangu mzazi ananipa fedha za kigeni nyingi sana.Hii maana take nini?
 
mimi naotaga sana mambo ya shule ya msingi kabisa...
ila nafikiri ni mkusanyiko wa mawazo ya shule ya mchana kutwa
..
maana mm binafsi nmeshindwa kuendelea na shule kwahiyo nakua naumia ndo mana naota ota
UMEKWAMA SEHEMU KATIKA MAISHA YAKO KUNA SEHEMU BADO HUJAVUKA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO, KATIKA PHYSICAL WORLD UNAWEZA KUJIONA TIYARI LAKINI SHETANI AMEBANA MUDA WAKO BADO UPO KISHULE YA MSINGI, FANYA MAOMBI YA KUMWOMBA MUNGU ARUDISHE KILICHOLIWA NA TUNUTU, NA MADUMADU NA PARARE NA NZIGE. HATA MIMI LILISHAWAHI KUTOKEA NIKAMWOMBA MUNGU AKANIRUDISHIA NA SASA NIMEVUKA NAFANYA MUNGU ANACHONIELEKEZA. NDOTO SIO KITU CHA MCHEZO MCHEZO LILE NI FUMBO NA KULITANGUA UNAMWITAJI MUNGU, NIMEONGEA KWA UZOEFU WANGU KUWA MAKINI NA TAFSIRI UNAZOPEWA
 
Mkuu Mimi niliota Marehemu Baba yangu mzazi ananipa fedha za kigeni nyingi sana.Hii maana take nini?
NGUVU ZA GIZA ZIMEKUFUNGA UNAHITAJI KUFUNGULIWA, YOUR POSSESSED BY EVIL SPIRIT YOU NEED DELIVERENCE
 
kuna mapepo huwa yanaharibu ndoa/mahusiano nk. Tazama, kuna pepo baya linakuja kuleta mgogoro ktk ndoa yako.
SIO LINAKUJA TIYARI LIPO KWA KIMOMBO TUNASEMA YOU HAVE SPIRITUAL HUSBAND AND YOU CAN NOT MARRY TWO HUSBAND AT A TIME, JUST A MATTER OF TIME NDOA YAKO INAKWENDA KUVURUJIKA KABISA
 
1. Kuna mtego umetegewa huenda ukanasa, jitahidi kuwa makini na marafiki na watu wanaokuzunguka.
KILA KITU KINAANZA KATK ULIMWENGU WA ROHO KABLA HAKIJAWA HALISI KATIKA ULIMWENGU WA MWILI, KATIKA ULIMWENGU WA ROHO UKO SHIMONI KABISA HUWEZI KUFANIKIWA KWA JINSI YA MWILI MPAKA UMEKOMBOLEWA ROHONI MAMBO MENGINE YATANYOOKA KABISA
 
Mimi mkubwa toka Niko mdogo ninaota ndoto asilimia kubwa utokea kweli ila sijui muda wala saa ya kutokea na inapotokea ua kunaharufu inanijia lakini hiyo harufu cjui ya kitu gani na matukio yatakayo tokea yote kwangu yanakua kama narudio tuu coz naweza kuwa na mtu na nikaanza kumwambia baada ya kitu hiki kitafuatia hiki na vikatokea kweli hivi cjui Ni vipi naweza kujua muda na saa wa kutokea rasmi kwa ndoto zangu
 
Naomba tafsiri ya ndoto hii
Unaota marakwamara unapambana vita vikali na wewe ndio kiongozi wa mapambano... Hujui unapoenda kupambana, mara nyingi unashinda vita na mapambano makali, alafu mazingira unayoota ni ya kizamani zamani. Mara nying ukimaliza hii ndoto mwili unakua umechoka sanaaaa
Kuna kipindi maramojamoja vita inakua ngumu inakua ngoma droo na maadui...
# tafsiri
*usije ukawa unataka ujue nyota ya mtu kupitia ndoto ili uje kuuiba
 
Ww una nyota kali, ndoto yako inamaanisha kuna wachawi au pepo wabaya huwa wanakufata ukiwa umelala lakin wanashindwa kukukamata nafsi yako wanakukosa..
Wewe kurogeka ni ishu, ukiona umerogwa ujue ni ndugu yako huyo
 
Mkuu Mimi niliota Marehemu Baba yangu mzazi ananipa fedha za kigeni nyingi sana.Hii maana take nini?
Wewe baba yako baada ya kufariki atakua amezaliwa nchi nyingine, tena familia ya kishua... Kama unavyoota ww na yeye atakua anaota anakupa hela
 
Habari, naomba kuuliza hivi ukiwa unaota kama unaelea angani au unapaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine hii maana yake nini? Na inasababishwa na nini?
Asante!
Kuota unapaa Hiyo ni dalili ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…