Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ni ngumu sana mtu kutafsiri ndoto potezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kosa la kisheria kusimulia ndoto za vifo,kuwa makini ndugu yanguKuna ndoto huwa zinajirudia ila nikiri hii ndio mara yangu ya kwanza naota hii ndoto.
Usiku wa kuamkia leo nimeota nimekufa na kuwekwa kwenye jeneza, chanzo cha kifo sijakifahamu ila mwili ulikuwa umeharibika vibaya kama MTU aliyekufa maji, kuna wakati jeneza liliwaponyoka wabebaji na kujipigiza chini na hayo yote nimeyashuhudia kama mtazamaji wakati mwili ulikuwa wangu.
Mwili ulizikwa kama mlimani hivi na kulikuwa na mawe mengi kiasi hata shimo lilikuwa fupi na hata udongo wa kufukia ulikosa na ikawalazimu kunifukia kwa mawe tu! Jambo la ajabu wakati yote yanatokea sikuwa naogopa na badala yake nilikuwa natafakari juu ya eneo nilipozikwa, nilifurahi zaidi pale nilipoona jirani kabisa na nilipozikwa kulikuwa na sanamu kubwa ya Bikira Maria(kwa wakatoliki wanafahamu zaidi) likiwa limeiangalia kaburi hiyo.
Sikuwa na hofu hata kidogo, jambo lililonifanya nine kuomba ushauri au tafsiri hapa ni jinsi ndoto ikivyokuwa "clear" kiasi kwamba hadi muda huu naandika hapa bado nakumbuka kila picha hadi rangi, waombolezaji hawakuwepo!
Na mie nasubiri maana ya ndoto hiiSamahan eti ukiota unafanya mtihani na mda ukaisha na ukashindwa kumaliza maana yake nn
mimi naotaga sana mambo ya shule ya msingi kabisa...Mm pia hua naota sana haya mambo na kiuhalisia Mambo Mambo yangu yako hovyo yaani nina degrees lakini kazi kwangu kupata imekua ndoto mpaka nimekata tamaa nafanya mambo mengine hizi ndoto zna maana ya anguko kwenye mambo fulani natamani mwenye ufafanuzi wa haya atupe mana huwa naota mara kwa mara kuna nyingine naota mshikaji aliekua anakimbiza chuo cozi moja ambaye yupo nje ananambiA hii nafasi ilikuwa yako nashindwa kuelewa kbsa
Mkuu Mimi niliota Marehemu Baba yangu mzazi ananipa fedha za kigeni nyingi sana.Hii maana take nini?Bata ni roho ya ufiraji, jichunguze yawezekana unapenda au kuvutiwa na kula tigo
HIYO NDOTO NI KWELI NA MUNGU AMEITHIBITISHA.Mie nataka tu uniambie je mtu akiota ndoto na ikajirudia mara kwamara kwa siku tofauti zaidi ya mara ishirini inamaanisha nini?
UMEKWAMA SEHEMU KATIKA MAISHA YAKO KUNA SEHEMU BADO HUJAVUKA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO, KATIKA PHYSICAL WORLD UNAWEZA KUJIONA TIYARI LAKINI SHETANI AMEBANA MUDA WAKO BADO UPO KISHULE YA MSINGI, FANYA MAOMBI YA KUMWOMBA MUNGU ARUDISHE KILICHOLIWA NA TUNUTU, NA MADUMADU NA PARARE NA NZIGE. HATA MIMI LILISHAWAHI KUTOKEA NIKAMWOMBA MUNGU AKANIRUDISHIA NA SASA NIMEVUKA NAFANYA MUNGU ANACHONIELEKEZA. NDOTO SIO KITU CHA MCHEZO MCHEZO LILE NI FUMBO NA KULITANGUA UNAMWITAJI MUNGU, NIMEONGEA KWA UZOEFU WANGU KUWA MAKINI NA TAFSIRI UNAZOPEWAmimi naotaga sana mambo ya shule ya msingi kabisa...
ila nafikiri ni mkusanyiko wa mawazo ya shule ya mchana kutwa
..
maana mm binafsi nmeshindwa kuendelea na shule kwahiyo nakua naumia ndo mana naota ota
NGUVU ZA GIZA ZIMEKUFUNGA UNAHITAJI KUFUNGULIWA, YOUR POSSESSED BY EVIL SPIRIT YOU NEED DELIVERENCEMkuu Mimi niliota Marehemu Baba yangu mzazi ananipa fedha za kigeni nyingi sana.Hii maana take nini?
SIO LINAKUJA TIYARI LIPO KWA KIMOMBO TUNASEMA YOU HAVE SPIRITUAL HUSBAND AND YOU CAN NOT MARRY TWO HUSBAND AT A TIME, JUST A MATTER OF TIME NDOA YAKO INAKWENDA KUVURUJIKA KABISAkuna mapepo huwa yanaharibu ndoa/mahusiano nk. Tazama, kuna pepo baya linakuja kuleta mgogoro ktk ndoa yako.
KILA KITU KINAANZA KATK ULIMWENGU WA ROHO KABLA HAKIJAWA HALISI KATIKA ULIMWENGU WA MWILI, KATIKA ULIMWENGU WA ROHO UKO SHIMONI KABISA HUWEZI KUFANIKIWA KWA JINSI YA MWILI MPAKA UMEKOMBOLEWA ROHONI MAMBO MENGINE YATANYOOKA KABISA1. Kuna mtego umetegewa huenda ukanasa, jitahidi kuwa makini na marafiki na watu wanaokuzunguka.
UKIOTA UNAPAA NGUVU ZA GIZA ZIMEKUTAWALAIYO
IYO
NDOTO INA MAANISHA UENDA UKAPATA SAFARI YA MBALI, EITHER UTAKUJA KUPATA MAFANIKIO YA KIMAISHA BAADAE KTK KUANGAIKA KWAKO KUTAFUTA , ,,,trust god
Ww una nyota kali, ndoto yako inamaanisha kuna wachawi au pepo wabaya huwa wanakufata ukiwa umelala lakin wanashindwa kukukamata nafsi yako wanakukosa..Mimi huwa naota napigana either na rafiki yangu au na mtu mwingine ambaye simfaham pia sometimes huwa naota nakimbizwa na kundi la watu wenye siraha nawakimbia najificha hawanion then naamka au huwa naota tunakimbia tupo wengi mno half wanajeshi wanatukimbiza na silaha then mimi najifichaga kwny jumba bovu wanapita wanatafuta hanioni au nakimbilia kwny nyumba nafunga mlango tena ndoto ya hv huwa yanijia mara kwa mara
Wewe baba yako baada ya kufariki atakua amezaliwa nchi nyingine, tena familia ya kishua... Kama unavyoota ww na yeye atakua anaota anakupa helaMkuu Mimi niliota Marehemu Baba yangu mzazi ananipa fedha za kigeni nyingi sana.Hii maana take nini?
Simba,chui,nyoka na ng'ombe ni ishara ya jiniHabari kwa anae ota sana mala kakutana na simba wengi na hawamfanyi usumbufu wowote ndoto hii huwa inajirudiarudia ktk siku tofauti maana yake n nn
Nyoka ni ishara ya jini,Naota manyoka adi nashtuka ni nini icho
Ni jini mahabaMm naota xn ndoto nikiwa nafanya mapenz na mabint warembo. Je hii inamanisha nn?
Kuota unapaa Hiyo ni dalili ya mafanikioHabari, naomba kuuliza hivi ukiwa unaota kama unaelea angani au unapaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine hii maana yake nini? Na inasababishwa na nini?
Asante!