ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Nakazia...Ukiota ndoto mwombe Mungu akupe tafsiri wanadamu hakuna ajuaye tafsiri sahihi ya ndoto ndugu yangu utadanganywa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia...Ukiota ndoto mwombe Mungu akupe tafsiri wanadamu hakuna ajuaye tafsiri sahihi ya ndoto ndugu yangu utadanganywa tu
Ukiota ndoto zaidi ya mara 1 basi ujue kuna kitu kinaweza tokea mbeleni kwahiyo Mungu anakukumbusha ili uiombee hiyo ndoto na kujua Maana yakeDaah aisee nimetishika kwa kweli ukitegemea sio mara ya 1
Mkuu umelenga mule mule.. lakni mm ni mwanafunzi sina harakati nyingi saana zaid ya kupiga kitabu chuoniHali yako ya kiuchumi ikoje? Baiskeli inasimama kuonesha mtu mwenye uchumi mdogo na gari katika ndoto yako linasimama kuonesha mtu mwenye uchumi mkubwa...
Hakika mkuuUkiota ndoto zaidi ya mara 1 basi ujue kuna kitu kinaweza tokea mbeleni kwahiyo Mungu anakukumbusha ili uiombee hiyo ndoto na kujua Maana yake
Hahaha hapana kka hivo vitu situmii
Kusoma ndo harakati zenyewe za kupambana na Maisha mkuuAsanteh sana kaka
Mkuu umelenga mule mule.. lakni mm ni mwanafunzi sina harakati nyingi saana zaid ya kupiga kitabu chuoni
Pamoja kka mkubwaKusoma ndo harakati zenyewe za kupambana na Maisha mkuu
Daa aisee mkuu.Tafsiri yake ni hii, yapo matatizo makubwa ya kishirikina mbele yako na yatakuzidi nguvu hivyo fuata njia ya ufumbuzi kulingana na imani yako.
Huyuu atakuaa anajitutumua kuutaka urais 2025Hali yako ya kiuchumi ikoje? Baiskeli inasimama kuonesha mtu mwenye uchumi mdogo na gari katika ndoto yako linasimama kuonesha mtu mwenye uchumi mkubwa.
Ulivyoota unataka kuovertake gari ni kuwa,kwa akiri ya kawaida ni ngumu mtu mwenye baiskeli kuovertake gari,hivyo maana ya ndoto yako ni hii:-
Katika Maisha yako unajaribu kupambana sana ili kujikwamua na hali uliyokuwa nayo katika Maisha yako,na kuna wakati unatumia nguvu nyingi sana katika kujikwamua na juhudu nyingine zinakuwa ni za hatari ambazo zinaweza kupoteza au kuhatarisha Maisha yako,
Hivyo nakusihi sana ndugu Yangu kuwa makini katika harakati zako za kujipatia riziki kwani kuna muda zaweza kukutia katika hatari (kifo)
Kwa kuongeza ni kuwa mtu hapaswi kupuuza ndoto,huwa zina ujumbe mzito sana ukizifuatilia,na kunakipindi inafikia kile ulichoota lazima kitimie
Hiyo ndoto inaweza kufasiliwa hivi; ipo roho ya mauti inayokufuatilia kwako, hiyo ni taaarifa kwako kwamba kuna mambo yako kiroho yanataka kuzikwa, chukka tahadhari zikae hizo roho kwa kuomba na Mungu atakusaidiaUsiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo siyo nzuri sana na imenitisha sana.
Nimeota nimekufa niko ndani ya jeneza kwenda kuzikwa na watu wanalia sana. Ghafla nikashtuka toka usingizini. Nikajaribu kuinua kichwa kikawa kizito baada ya muda kichwa kikaniuma sana.
Naomba unipe tafsiri ya hii ndoto maana imeninyima raha kabisa.
Nawasilisha.
AminiHiyo ndoto inaweza kufasiliwa hivi; ipo roho ya mauti inayokufuatilia kwako, hiyo ni taaarifa kwako kwamba kuna mambo yako kiroho yanataka kuzikwa, chukka tahadhari zikae hizo roho kwa kuomba na Mungu atakusaidia