Ndoto yako inamaanisha unatumiwa na wachawiMcheza Karate mimi nina ttz na kuota ndoto kuhusu vifo tu, huwa sioti mara kwa mara ila siku nikiota nitaota tu kuhusu kifo na maeneo ya wafu mfano mortuary au makaburini au nipo msibani au chochote kuhusu kifo ni mida mrefu sana toka 2005 kama sikosei, nitafrai ukinipa muongozo sijui kuna tatizi gani hapo. Please help!
Bata ni roho ya ufiraji, jichunguze yawezekana unapenda au kuvutiwa na kula tigoHivi ikiwa nimeota nakimbiza bata nina maana ya bata co tafsiri nyengne ,wakati namkimbiza huwa najitahidi sana kumkaribia lakini simpati na nguvu ya mm kukimbia inapungua sana jee hii ina maana gani
kuna dhana mbili hapo, ila kwa kuwa hujafafanua nashindwa kukueleza kwa kina,Mcheza Karate mimi nina ttz na kuota ndoto kuhusu vifo tu, huwa sioti mara kwa mara ila siku nikiota nitaota tu kuhusu kifo na maeneo ya wafu mfano mortuary au makaburini au nipo msibani au chochote kuhusu kifo ni mida mrefu sana toka 2005 kama sikosei, nitafrai ukinipa muongozo sijui Kuna ttz gani hapo...ps help!!
pole sana marejesho kwa kusubiri kwa saa 17, nashukuru kwa uvumilivu wako,Naota sana kuhusu watoto mapacha. ..Juzi niliota tena. .Pacha mmoja amezaliwa very weak tukamweka kwenye beseni lenye maji ili ashtuke. Na huyo pacha weak ana alama nyeusi mguu wa kushoto (birthmark ).
Maana yake nini?
kuna dhana mbili hapo, ila kwa kuwa hujafafanua nashindwa kukueleza kwa kina,
1. eneo unaloishi kuna sehemu inafanyika kutaniko la kichawi, ktk vikao vyao.
2. kuna kundi la wachawi wanaendesha mkakati wa kukudhuru, ila inawapa wakati mgumu kufanikiwa,
karibu tena mama.
Dah nimepata shock kwakweli, nashkuru sana kwa ufafanuzi.. Sasa nifanye nn exactly maana hizi ndoto sizipendi kbsa
utapata tatizo(kuanguka) lakini hautoyumba(umeamka) utaimarika tena kama kawaida, haina athari sana ndugu yangu, jitahidi kuwa makini tu,Mimi naomba uniambie. Nililala mahala pa juu kama gorofa. Mara likadondoka halafu katika kuanguka nikadondokea kichwa ila cha kushangaza Sikuumia Kabisa. Naikainuka nikarudi kule kule juu kuchukua vitu vyangu nikaondoka zangu. Inamaana gani hii mkuu?
ni kundi la wachawi walikuja kukudhuru ila walikushindwa, na hakuwa mwanamke, ni mwanaume, ktk ndoto za namna hvyo huwa unaona opposite, natumai umenielewa, karibuNimeota nimelala kitandani na kuna wachawi wawili wamekaa kitandani kwangu, mmoja kafunikwa usoni kidogo na kanga. Nikajitahidi kuomba ila wap, ghafla nikamwona mdada amekaa juu ya kitanda nae amenyoosha mikono Kama anasali ila kimya kimya. Wale wachawi wakapotea nikaamka. Kuangalia saa ni saa 5 na dk 34 usiku. Sijapata usingizi mpaka sasa. Inaweza kuwa na maana yyte hii ndoto?
kama si wewe basi ni ndugu yako wa karibu atakumbwa na kesi, ugonjwa au dhoruba yoyote.Mi nimeota nilikuwa na shamba kubwa la mpunga then gafla likaungua moto, tena moto wa kasi kama wa petroli huku mpunga ukiwa umefikia kuvunwa....nini maana ya ndoto hii?
bado una siku nyingi za kuishi, ni ndoto njema sana, ila usimsimulie mtu ndoto ya aina hyona mimi naomba unitafsirie ndoto yangu
Ndoto iko hivi..Naota naruka juu angani kisha natua then naruka tena huku nikifurai sana
Mimi naomba kusaidiwa tafsiri ya ndoto hizi maana zimekuwa zikijirudia nmara kwa mara ndoto moja huwa naota nipo mazingira ya chuo either darasani au hostel nawakati nilishamaliza chuo kitambo tu.Ingine hii hapa
Naota napanda mlima mrefu kwa shida sana kama nataka kuanguka yaani nipo hatarini kweli kweli nikiangalia chini mbalii mala ghafra naamka huku moyo ukienda mbio sana ...nisaidieni tafsiri yake wandugu..
Habarini wakuu,
kwa siku za karibuni nimeona thread nyingi humu watu wakiwa na kiu ya kutaka kujua maana ya ndoto mbalimbali, lakini imekuwa ngumu kwao.
Wengi wamekimbilia kutisha wakiamini kuwa ndoto zote zina uhusiano wa uchawi, mashetani na ulozi, jambo ambalo si kweli.
Leo nataka nitoe somo la bure hapa. Ila kwa kuwa ndoto ziko nyingi nami nimeona kila mwenye uhitaji aniulize nami nitamjibu ktk thread hii hii.
Asanteni na karibuni sana.