Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
ndugu yangu. utapatwa na wakati mgumu sana kiuchumi, ukiona unaokota sarafu(sio noti), ni ishara kuwa utapitia kipindi kigumu kiuchumi, na mambo yako mengi hayatoendaMi niliota eti kuna sehemu nilikuta shilingi mia mia nyingi nikaanza kuokota hadi nikajaza mfuko, yaani nikitembea kidogo naona sh. Mia naiokota. Hii ndoto ina maana gani?
haina maana kuwa mke wako anachepuka, ila kuna hali ya kutoelewana itatokea baina yako na mtu wako wa karibu kama kazini, jirani au ndugu,Mie mke wangu aliota anasex na jamaa mwingine yaan mpaka wakapasua vyombo ndani afu et nikawafumania kwenye ndoto.japo huyo mtu aliyekuwa anasex naesimjui. Sasa je ina maana gani?
ni dalili mojawapo ya roho wachafu, majini wanataka kumwingia na kushiriki nae, pia mahusiano yenu yataanza kuyumba, hasa yeye mwenzio ataanza matatizo na kuleta hali ya kutoelewana.Mkuu mke wangu yupo Chuo amepanga chumba. Majuzi kaota ametoka Chuo ile anafungua kitasa akaona ghafla mlango unafunguliwa na mwanaume hamjui alikuwa ndani, ghafla mwanaume yule akapotea. Ila pia mara nyingi huota anaoga na mwanaume asiyemfahamu
jaribu kutafuta suluhisho kwa mambo hayo mawili niliyokuelezakuna dhana mbili hapo, ila kwa kuwa hujafafanua nashindwa kukueleza kwa kina,
1. eneo unaloishi kuna sehemu inafanyika kutaniko la kichawi, ktk vikao vyao.
2. kuna kundi la wachawi wanaendesha mkakati wa kukudhuru, ila inawapa wakati mgumu kufanikiwa,
karibu tena mama.
Dah nimepata shock kwakweli, nashkuru sana kwa ufafanuzi.. Sasa nifanye nn exactly maana hizi ndoto sizipendi kbsa
Hizi ni ndoto ambazo hutokea pale roho yako inapokuwa ktk hali ya hatari, kuna roho mbaya ya wachawi huwa wanataka kukudhuru na huwa inafanikiwa kukimbia na kukuacha salama.Saafi...
Mara nyingi sana naota napaa kama ndege muda ungine nakua nakimbizwa nikianza kukimbizwa tu napaa au hata muda ungine bila kukimbizwa najikuta napaa kama nimeota mbawa hii ina maana gani wandugu...
shukrani kwa tafsiri [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hizi ni ndoto ambazo hutokea pale roho yako inapokuwa ktk utulivu na furaha, ni dalili ya amani na maisha marefu ndugu,
samahani ndugu, sikuona sawasawa ulipoandika kuwa huwa unakimbizwa, nimeedit, unaweza ukatazama tena, pole kwa usumbufushukrani kwa tafsiri [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante sana! nitafanyia kazi ushauri wako.Ndoto ikijirudia mara kwa mara hiyo ndoto usiipuzie ina maana Mungu anaongea na ww kwa njia ya ndoto bt note kuwa sio ndoto zote ni za Mungu. Ukiota mara nyingi ndoto ujue kuna kitu so kuwa makin kama ni kuomba omba kwa Mungu akuambie nn maana yake
Asante sana , sasa wewe unawezaje kutafsiri ndoto unafanyajefanyaje?kutafsiri ndoto ni elimu pana sana ndugu, sio kama unavyodhani. Kuna mawili hapo. Kuna ndoto unazoota kwa kurejea kumbukumbu za mchana, huweza kujirudi kutegemeana na shughuli na fikra za mambo ya mchana.
Kama ndoto sio ya mrejesho wa shughuli za mchana, basi ni ya kiroho, hapo sasa lazma ujue ndoto uliotaje, kuna sababu nyingi sana ya kujirudia ndoto kutegemea na kile mtu alichoota.
Karibu sana rofejo ndugu yangu
MIMI NIMEOTA NAKIMBIZWA NA VIUMBE VYA AJABU,MBELE YANGU NIKAONA NYUMBA NA MLANGONI AMESIMAMA KAKA YANGU AMBAYE NI MAREHEMU AKAWA ANANIITA NIKAINGIA NDANI AKAFUNGA MLANGO VILE VIUMBE VIKANIKOSA.MAANA YAKE NN?Habarini wakuu,
kwa siku za karibuni nimeona thread nyingi humu watu wakiwa na kiu ya kutaka kujua maana ya ndoto mbalimbali, lakini imekuwa ngumu kwao.
Wengi wamekimbilia kutisha wakiamini kuwa ndoto zote zina uhusiano wa uchawi, mashetani na ulozi, jambo ambalo si kweli.
Leo nataka nitoe somo la bure hapa. Ila kwa kuwa ndoto ziko nyingi nami nimeona kila mwenye uhitaji aniulize nami nitamjibu ktk thread hii hii.
Asanteni na karibuni sana.
MKUU MIMI NILIOTA MTI MKUUUBWA SANA MKUBWA MNO.JUU KABISA PANAPOTENGANISHA SHINA NA MAJANI KUNA SHIMO.YUPO NYOKA MKUBWA SANA AMEJIVIRINGA KUZUNGUKA KINGO ZA SHIMO,KALALA KWA UTULIVU MKUBWA.KWA JUU YAKE KIDOGO KUNA NDEGE JAMII YA NJIWA AU KUNGURU.CHINI YA MTI KUNA MTO WA MSIMU YAANI ILE IJAAYO MAJI KWA NYAKATI.ILI KUUKATIZA MTO KULIKUWA NA KINJIA KINAUKATIZA MTO,AKAWA ANAPITA MWANAJESHI KUUVUKA MTO.LILE JOKA NI KUBWA MNO LILIPOMWONA KWA SPIDI KALI SANA LIKATEREMKA MTINI KWA KASI SANA KUMWELEKEA MWANAJESHI.NA MWISHOWE LIKAMDHURU NA NAHISI LILIMUUA.HIYO NI NDOTO YANGU KARIBU MKUUni kundi la wachawi walikuja kukudhuru ila walikushindwa, na hakuwa mwanamke, ni mwanaume, ktk ndoto za namna hvyo huwa unaona opposite, natumai umenielewa, karibu
Kuna ndoto huwa mtu anaiota Sana ndugu Yangu akiwa amelala anaota anatembea na mama yake ilijirudia Kama Mara tatu hivi Ina maana gani mkuu Mcheza Karatesamahani ndugu, sikuona sawasawa ulipoandika kuwa huwa unakimbizwa, nimeedit, unaweza ukatazama tena, pole kwa usumbufu
Ahsante sana.utapata tatizo(kuanguka) lakini hautoyumba(umeamka) utaimarika tena kama kawaida, haina athari sana ndugu yangu, jitahidi kuwa makini tu,
...mi naota sana hizi ndoto za kupaa,hasa nikizingirwa na maadui na kukosa upenyo wa kusevu huwa napaa zangu juu kabisa!Hilo sio tatizo ndugu, wengi hudhani ni ulozi. Kumbuka roho huwa haina limit ya muda, umbali nk, kuna wakati huwa roho inazunguka ktk maeneo mengine ila bila kuacha mwili, hivyo unajiona unapaa, kuruka nk.