Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Nyingine niliota tupo vitani tumekomboa mateka wkt tunarudi tukapewa taarifa kuwa maadui wapo mbele yetu ikabidi tubadilishane njia mm nikaanza kutafuta maficho nkashtuka
 
Huwa naota nimerudi kazini nilipoacha tena nimepandishwa na cheo kutoka kile nilichokuwa nacho hapo awali hiyo ina maana gani na huwa naota mara nying sana hii ndoto.
 
Habari nina tabia ya mara kwa mara hua naota kua mke wangu kanifanyia kosa nawakati mwingine hua naota tunataka kuachana, anataka kuniacha wakati mwingine naota ananitamkia kua hanitaki lakini huu ni mwaka wa 5 niko naye nawala hatujawahi gombana au kufikia hatua hiyo hua kwa ujumla tuna amani sana.

Naomba tafsiri yake
 
Mkuu naomba unitafsirie hii ndoto.

Nina mpenzi wangu, nina Malengo naye ya kuja kuishi naye.
Alihamishiwa Mwanza kikazi. Kuna wakati huwa nasafiri kumfata mwanza. Nimeshasafiri zaidi ya mara mbili nakaa zaidi ya wiki kisha narejea Dar.

Sasa Jana nimemuota. Wakati tupo chumbani tumelala nikawa namuandaa kufanya naye mapenzi. Nikamuandaa kwa kumchezea na vidole sehemu zake za siri za uke, akalowa vya kutosha mpaka akapitiliza. Kabla sijamuingilia mara ghafla nikawa naona uteute mweupe kama karatasi unatoka njia ya haja kubwa. Ghafla nikazinduka kutoka ndotoni.

Nini tafsiri ya hii ndoto?
 
nimejikuta nashtuka usingizini baada ya kuwa nabishana na bashite nusura tuzichape nini tafsir ya ndoto hii
 
Tafsiri yake ya ndoto yako: Siasa imekukolea, hasa ya mlengo fulani, kama una duka au mradi wowote, kwako sio vitu vinavyokufikilisha unapolala, kuliko maswala ya siasa.
 
Dada divine naomba uiangalie hii na nitakuja PM pia.

Nimeota mara nyingin nakimbizwa na n'gombe mweusi mkubwa sana ana pembe Kali mno.
Mara nyingi nimekuwa nikimkimbia sana sana na pia siku moja aligeuka na kuwa kijana wa kiume simfahamu akaanza kunirushia mishale mikali mingi sana lakini haukunipata hata mmoja yani. Alirusha mara nyingi sana approximately mara 20 kisha akaja bibi mmoja rafiki yake na bibi yangu akasimama akamuangalia akaacha kurusha mishale akapotea .(mazingira ni kwetu kijijini)

Mara nyingine nimeota ng'ombe hiyo akitaka kuniingilia ( mazingira hapa sijajui)

Baada ya kuota mara nyingi juzi nimemuota huyo ng'ombe mweusi amekuja akiwa anajipanga kuanza kunikimbiza nikachukua fimbo ya ufagio nikampiga hadi akatoka kichwa minofu inadondoka chini.



Ndoto nyingine naota nakimbizwa na nyoka
Mszingira siyafahamu kabisa

Kuna siku mtoto wangu alikuwa amekaa ghafla nikaona nyoka mdogo kaja nikamkata yule nyoka!
Tena nikaona nyoka mwingine amekomaa hadi ana manyoya anapita pale pale nikataka kumzuru kwani mwanangu yuko pale ila akapita, wkt name gang as nikaona nyoka mwingine amejibanza pembeni nikamuangalia tu..


Vipi kuota marehemu mzazi kbs anaumwa sana yupo hoi alafu usafiri wa kumfikisha hospitali ni changamoto?

Mara marehemu anelala nyumbani anaumwa
Mara nyingine naota MTU ambae bado hajafa namuota amekufa

Kuna siku nimeota kuwa binti yangu amekufa kwa kuangushwa chini na dada wa kazi na nilipomuuliza akawa kiburi tu kujibu ndio hataki.


Naota nakula minyama mimi na binti yangu..


Naomba unitafsirie kwa uwezo ulionao. Najua nipo vitani na nine shanks finish a YESU awe bwana wa jeshi langu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nikiwa kidato cha sita nimewahi kuota nimesahau kuandika index number kwenye mtihani mmoja wa necta ilibidi nishtuke usingizini nikiomba jambo lile lisitokee.
sasaa siku nafanya mtihani huo nilirudia Mara mbilimbili kuhakikisha kila kitu kipo sawa lakini kilichokuja kutokea kwenye matokeo somo lilelile nililoota likazuiliwa matokeo yake kwasababu ya continues assessment lakini baadae ilikuja kukaa sawa
Lakini nimekuwa nikiota nipo kwenye mtihani Mara nyingi Mara kidato cha NNE Mara cha sita lakini ya Leo nimeona iko natofauti naomba mtaalam popote ulipo unisaidie maaana yake
Nimeota nipo kwenye university examination lakini wakati naingia nikakumbuka kama sina ID lakini nilifanikiwa kuingia kwa kutumia form nadhani ni zile za kurenew id nimeingia nikajikuta sijavaa shati nipo kifua wazi na mpangilio wa darasa haukuwa mzuri ulikuwa shagalabagala lakini nilifanya mtihani na wenzangu ila safari hii mtihani ulikuwa rahisi sana tofauti na matarajio ya wengi.nilifanya nikatoka na kingine shati lile ambalo nilijikuta sijalivaa kwenye mtihani halikuwa la kwangu ni la rafiki yangu
Bado natafakari maana ya hii kitu kiukweli tangu incident ya kidato cha sita kuwiana na uhalisia kiasi kile huwa napata wasiwasi sana
 
Hujamaliza chuo?
Huwa nawaambia watu adui wa mtu ni wa nyumbani kwake wala hatok mbali.
Hata Yesu wangu alisalitiwa na mwanafunzi wake

Hilo shati la rafik ungevaa ungefanya mtihani wa rafiki yako.

Na majibu yangekaa kwa rafiki yako na sio kwako

Mavazi yana nguvu sana ktk ulimwengu wa roho

Ukiota kitu kibaya kama hujui fasir ya ndoto
Omba mwambie Mungu kuwa huyabatilisha mashauri ya waongo,kuwatia waganga wazimu, niwarudishiaye nyuma wenye hekima na kugeuza maarifa yao kuwa ujinga

Nilithibitishaye neno la mtumishi wangu......
(Soma isaya 45:24-28)[emoji115] [emoji115]

Unapokosa ID, unapo chelewa mtihani
Ni maandalizi ya hatua fulani hujajiandaa vzr

Hivyo omba Mungu akuandae vzr na mwambie Mungu ulicho kiona ktk ndoto kisitokee ktk ulimwengu wa mwili

Sababu tuna mamlaka ya kubatilisha kufunga na kufungua.

Mathayo 18:18
Na isaya 7:7
Bwana MUNGU asema hivi, Neno hili halitasimama wala halitakuwa
Heaven Sent ukuje kuna maswal huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia ndoto yangu naot mara kwa mara naenda shule (sekondari & msingi)ambayo nilisha maliza miaka mingi imepita japo mimi cjawahi ota nipo kwenye chumba cha mtihani na ndotk hii imekua ikijirudia sana.Naombeni msaada waku itafsiri.
 
Back
Top Bottom