Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Habari wadau Poleni na majukum ningependa kuuliza Kama Kuna mtu anafaham ndoto hizi zimemaanisha Nini anisaidie

Ndoto ya kwanza niliota niko peke yangu msituni na nimezungukwa na wanyama Aina ya nyoka popo kicheche na mnyama mwingine simjui jina alafu nilikua Kama napambana navyo ili nitoke pale nilipo kua

Ndoto ya pili nilio ota leo hii hii nimeona nilikuwa sehemu ipo Kama vile kiwanda Mara nikaskia watu wanakuja wengi wanalia Mara nikaanza kuona majenezo ya watu wakiwa wamekufa wakikusanywa sehemu moja mait zilionekana Kama zimeungua hivi pia nikasikia watu wakisema wamekufa Saba na TV ilikuwa pemben ikaripot ikisema wamekufa Saba kwa mwenye uelewa aniambie

Alafu sijawai kufikiria kufa kusema hii ndoto imetengenezwa na mawazo yangu Wala sijawai kuwaza mabaya Ila zinakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili za corona hizo mkuu, maana c nilisikia corona katoka kwa popo na nyoka , ndo ivo tena.

Achana na ndoto bana , usije ukaenda kutoa ushuda bure
Fanya Kama umepotezea Kama itatokea basi maana huwezi zuia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jambo linampata binadamu hasa litakalogusa moyo wake siku za usoni bila kujulishwa mapema hasa ktk ndoto. Ndoto ni ujumbe unapewa usipuuzie hata kidogo....
Kiufupi ndoto ya kwanza inajieleza haina mafumbo mengi.. Unaweza pata anguko siku zijazo maana Kuna adui amekuzunguka pande zote. Ongeza kasi ya sala kila siku .Mungu atakushindia.. Usipuuzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushaur

Unaifikiria sanaa corona kabla ya kulala mkuu, acha uoga mzee kasema tuchape kazi, hivi vimafua vitapita tu.
 
Habari wadau Poleni na majukum ningependa kuuliza Kama Kuna mtu anafaham ndoto hizi zimemaanisha Nini anisaidie

Ndoto ya kwanza niliota niko peke yangu msituni na nimezungukwa na wanyama Aina ya nyoka popo kicheche na mnyama mwingine simjui jina alafu nilikua Kama napambana navyo ili nitoke pale nilipo kua

Ndoto ya pili nilio ota leo hii hii nimeona nilikuwa sehemu ipo Kama vile kiwanda Mara nikaskia watu wanakuja wengi wanalia Mara nikaanza kuona majenezo ya watu wakiwa wamekufa wakikusanywa sehemu moja mait zilionekana Kama zimeungua hivi pia nikasikia watu wakisema wamekufa Saba na TV ilikuwa pemben ikaripot ikisema wamekufa Saba kwa mwenye uelewa aniambie

Alafu sijawai kufikiria kufa kusema hii ndoto imetengenezwa na mawazo yangu Wala sijawai kuwaza mabaya Ila zinakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni dalili za blood pressure au shambulio la moyo!Fanya mazoezi
 
Usipuuze ndoto, zingine hua kweli zina maana. Ngoja nikupe mfano hai...

Mwezi uliopita tulipata msiba, ulisababishwa na ajali...kuna rafiki yangu nikamwambia akashtuka akasema 'Juzi nmeota kwenu wanaingiza jeneza ndani' (Tunakaa nae jirani ila yupo mkoani kikazi now). Then kesho yake akaota tena ndoto ambayo inafanana mazingira kama ya ajali yaliyotokea, ambapo siku iliyofatia ndo ajali ikatokea.

Nkamuuliza mbona hukuniambia, akasema hakutilia maanani sana half pia mama yake mkubwa ni mgonjwa mahututi so yeye alihisi msiba unawahusu wao ila ndo aliota kwetu kwavile tupo close. Kwakwel hadi yeye akaogopa sasa kwanini kaota na kitu kimetokea kweli.

So inawezekana ndoto zako zikawa na maana au ni ndoto tu za kawaida, muhimu sali kukemea hayo mambo mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna jinsi geukia kwa yeye anayeweza kutengeneza njia mapema sana

Ongeza muda wa kuomba na pia kama ikizewezekana funga kwa masaa kumi na mawili siku utakazo panga wewe

Hakika MUNGU atakuponya na hilo lililopo mbele
 
Nyoka kiroho ni adui shetani mwenyewe

Yani ukiona umezungukwa na nyoka ni ndoto inayoashiria hatari, vita, nguvu za giza na mashambulizi makubwa katika maisha

Kuwa msituni ni kuwa katika Hali mbaya, ukiwa, katika maisha inaweza kumanisha msiba, dhiki ugonjwa na mateso kadha wa kadha

Kwa hiyo kuwa msituni huku umezungukwa na nyoka ni ishara mbaya mnooo

Kuota majeneza au mtu aliyekufa manake kuna roho ya mauti inakufuatilia inaweza ikawa wewe au hata familia yako
Kwa hiyo ukiunganisha hizo ndoto inaweza kupata mwanga huu
Unazungukwa na adui anaweza akaja katika njia ya ugonjwa, umaskini, mateso au katika Hali yeyote lakini mwisho wake u kapata anguko kubwa (kifo) inaweza kuwa kiroho, kimwili au kufa kiuchumi kazi na vyovyote vile.

Lakini mpaka umeota Mungu a nazungumzia na wewe kwa Habari ya kutengeneza ili hayo yasikupate, Biblia Inasema Mungu hutuwazia mema wala si mabaya, kutupa tumaini siku zetu za mwisho so madamu umeonyeshwa ingia kwenye maombi, simamia neno hili MPINGENI SHETANI NAYE ATAWAKIMBIA, MKARIBIE BWANA NAYE ATAKUKARIBIA.........

MUNGU AKUVUSHE KATIKA JINA LA YESU, KILA MTEGO ALIOUTEGA ADUI USIKUNASE
KILA NENO BAYA LILILOTAMKWA JUU YAKO LISIFANIKIWE, MAADUI ZAKO WAKAWE ADUI ZA MUNGU KATIKA JILA LA YESU

UKAWE HURU TANGU SASA.... Endelea kuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante
Usipuuze ndoto, zingine hua kweli zina maana. Ngoja nikupe mfano hai...

Mwezi uliopita tulipata msiba, ulisababishwa na ajali...kuna rafiki yangu nikamwambia akashtuka akasema 'Juzi nmeota kwenu wanaingiza jeneza ndani' (Tunakaa nae jirani ila yupo mkoani kikazi now). Then kesho yake akaota tena ndoto ambayo inafanana mazingira kama ya ajali yaliyotokea, ambapo siku iliyofatia ndo ajali ikatokea.

Nkamuuliza mbona hukuniambia, akasema hakutilia maanani sana half pia mama yake mkubwa ni mgonjwa mahututi so yeye alihisi msiba unawahusu wao ila ndo aliota kwetu kwavile tupo close. Kwakwel hadi yeye akaogopa sasa kwanini kaota na kitu kimetokea kweli.

So inawezekana ndoto zako zikawa na maana au ni ndoto tu za kawaida, muhimu sali kukemea hayo mambo mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto zingine bana, sijawahi kucheza hata mechi za mtaa kwa mtaa ila jana nimeota nimefunga bonge moja la goli tena kwenye mkeka kama wa OT kabisa...nimerudi kucheki video y goli lenyewe sasa 😀😀😀 yani dinyo mwenyewe akasome 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Amani ya bwana wangu iwe na wewe
Kadri ya ufunuo wa roho juu yangu goli ni ushindi/Mafanikio
Kufunga wewe ni kufikia
Uwanja mzuri ni hali yako mazingira yako
Hivyo ndugu muombe mungu akupe ushindi aliokupangia

Nyongeza ulivaa jezi za rangi gani?
Na jezi zilikiwa kwenye hali IPI mpya/kuchakaa?
 
N
Habari wadau Poleni na majukum ningependa kuuliza Kama Kuna mtu anafaham ndoto hizi zimemaanisha Nini anisaidie

Ndoto ya kwanza niliota niko peke yangu msituni na nimezungukwa na wanyama Aina ya nyoka popo kicheche na mnyama mwingine simjui jina alafu nilikua Kama napambana navyo ili nitoke pale nilipo kua

Ndoto ya pili nilio ota leo hii hii nimeona nilikuwa sehemu ipo Kama vile kiwanda Mara nikaskia watu wanakuja wengi wanalia Mara nikaanza kuona majenezo ya watu wakiwa wamekufa wakikusanywa sehemu moja mait zilionekana Kama zimeungua hivi pia nikasikia watu wakisema wamekufa Saba na TV ilikuwa pemben ikaripot ikisema wamekufa Saba kwa mwenye uelewa aniambie

Alafu sijawai kufikiria kufa kusema hii ndoto imetengenezwa na mawazo yangu Wala sijawai kuwaza mabaya Ila zinakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Neema ya kristo wa Bwana wangu iwe nawewe
Hizo ndoto zako zinahusiana na zinamaana moja

Generally ni kuwa Bwana wangu bado anakupenda sana kwa kuwa anakulinda na kukupa uhai katika ya

1---Ndoto ya kwanza ni kuwa umezungukwa na maadui kila upande na huna pakukimbilia kwakuwa ni msituni

Suluhisho mwombe mungu akuepushie mbali na majaribu

Ndoto ya pili ni kuwa roho ya mauti imewekwa tayari kudhuru wanao kuzunguka wewe ili wewe uingie kwenye mateso /majaribu ya ndoto ya kwanza
Kama kwenda kwa waganga na ushirikina
Kristo ni mwema Hata akuokeo
Tambua kuwa nyoka ni uongo na Uzushi unaokuzunguka

Omba kwa kristo utaponywa wewe na washirika wako7 katika uzalishaji/biashara
 
Amani ya bwana wangu iwe na wewe
Kadri ya ufunuo wa roho juu yangu goli ni ushindi/Mafanikio
Kufunga wewe ni kufikia
Uwanja mzuri ni hali yako mazingira yako
Hivyo ndugu muombe mungu akupe ushindi aliokupangia

Nyongeza ulivaa jezi za rangi gani?
Na jezi zilikiwa kwenye hali IPI mpya/kuchakaa?
Asante kiongozi. Kuhusu jezi sikumbuki aisee
 
Back
Top Bottom