mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Habari wadau Poleni na majukum ningependa kuuliza Kama Kuna mtu anafaham ndoto hizi zimemaanisha Nini anisaidie
Ndoto ya kwanza niliota niko peke yangu msituni na nimezungukwa na wanyama Aina ya nyoka popo kicheche na mnyama mwingine simjui jina alafu nilikua Kama napambana navyo ili nitoke pale nilipo kua
Ndoto ya pili nilio ota leo hii hii nimeona nilikuwa sehemu ipo Kama vile kiwanda Mara nikaskia watu wanakuja wengi wanalia Mara nikaanza kuona majenezo ya watu wakiwa wamekufa wakikusanywa sehemu moja mait zilionekana Kama zimeungua hivi pia nikasikia watu wakisema wamekufa Saba na TV ilikuwa pemben ikaripot ikisema wamekufa Saba kwa mwenye uelewa aniambie
Alafu sijawai kufikiria kufa kusema hii ndoto imetengenezwa na mawazo yangu Wala sijawai kuwaza mabaya Ila zinakuja tu
Sent using Jamii Forums mobile app