google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Ipi hali yako=? Labda unaumwa .... ila subiri wataalamu wa hiz mambo za ulozi na ndoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mawasiliano ya kiroho kati yenu.. Na kuna jambo linakunyemelea hasa kama ndoto hizo zikijirudiarudia.. Jambo lenyewe linaweza kuwa na nusu heri au nusu shari na litawagusa nyie woteNi maajabu mama na dada yangu wanaoishi mikoa tofauti wao na mm .mama yuko kijijin dada yuko mwanza mjini mm nko mkoa mwingine .
Ndan ya mwezi huu kwa mida tofauti wameota nimewatembelea ila nilikiwa mgongwa sana.
Naskiaga ndoto huwa zina tafsiri yake ngependa wajuzi mnijuze
Cc Mshana Jr MziziMkavu Rakims
Nimeona ni quote wababe wa hizi mambo
Hapa karibuni nimekuwa naumwa uti na pressure (ugonjwa ambao sijawahi umwa ) ila nipiga dawa mwezi bila kugusa mvinjo nyama wala sukari na mazoezi juu saii niko sawa ,jinsi walivyoni tisha nimejikuta naacha pombe na mademu kabisaaipi hali yako ? labda unaumwa .... ila subiri wataalamu wa hiz mambo za ulozi na ndoto
Ndo mana nawakataliaga watu kunitabiliamaana nimejikuta siko huru pombe meacha nawaza ni kisukari kinanivizia nn? mademu naowafukuzia walio kibra nimewkimbia wote nawaza au wna moto nn ,yaani najishtukia kila jamboKuna mawasiliano ya kiroho kati yenu.. Na kuna jambo linakunyemelea hasa kama ndoto hizo zikijirudiarudia.. Jambo lenyewe linaweza kuwa na nusu heri au nusu shari na litawagusa nyie wote
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Ndo mana nawakataliaga watu kunitabiliamaana nimejikuta siko huru pombe meacha nawaza ni kisukari kinanivizia nn? mademu naowafukuzia walio kibra nimewkimbia wote nawaza au wna moto nn ,yaani najishtukia kila jambo
Hahahahaha mkuu pole sana kufa sio poa kula kwa kiasi na nademu wasioleta pressure sio mbaya kuwa nao.hapa karibuni nimekuwa naumwa uti na pressure (ugonjwa ambao sijawahi umwa ) ila nipiga dawa mwezi bila kugusa mvinjo nyama wala sukari na mazoezi juu saii niko sawa ,jinsi walivyoni tisha nimejikuta naacha pombe na mademu kabisaa
inatisha kakaHahahahaha mkuu pole sana kufa sio poa kula kwa kiasi na nademu wasioleta pressure sio mbaya kuwa nao.
Elezea zaidi mkuu ka unanipa moyo tenaMsipptoshe. Kuota u mgonjwa maana yake si jambo baya.
Mtafute Mwantumu hawa wanawake wa buza, kwa mpalange nk nk hawana mambo mengi alafu mambo ni ya 4G pressure pressure hutosikia akizidi sanaaaa yuko kwenye kigodoro anamwaga radhi hukoinatisha kaka
Ngoja nikusaidie machache kuhusu suala hili.Ni maajabu mama na dada yangu wanaoishi mikoa tofauti wao na mm .mama yuko kijijin dada yuko mwanza mjini mm nko mkoa mwingine .
Ndan ya mwezi huu kwa mida tofauti wameota nimewatembelea ila nilikiwa mgongwa sana.
Naskiaga ndoto huwa zina tafsiri yake ngependa wajuzi mnijuze
Cc Mshana Jr MziziMkavu Rakims
Nimeona ni quote wababe wa hizi mambo
Mkuu hii ndoto ya kupaa angani nimeshawahi kuiota, niliiota kwa mfululizo baadae nilikuja pata majanga makubwa sana. Ila baada ya miezi miwili mambo yalianza kufunguka kwa kasi kubwa sana. Katikati ya miezi ya mwaka jana nikaiota tena hii ndoto. Haukupita mwezi mambo yakaanza kunuendea mrama kwa kasi ya ajabu. Mpaka leo hali si shwarinimeota napaa
Mkuu na mimi niliwahi kuota hivi hivi hujapunguza hata kimoja. Ila mimi uwezo wa kutua nilikuwa nao. Nikitaka kupaa nakimbia au najitupa huku mikono nimeachama na naanza kupaa. Ila baadae nilikuja pata msala mkubwa sana wa kihistoria. Nikaja nikaota naokota pesa zisizoisha, nikaja nikatembelewa na mkwanja mkwabwa sana. Naposema mkubwa namaanisha ni mkubwa kweli kweli 50M+ na hapa ni ndani ya mwaka 1.5 tu. Nikaja nikaota tena napaa, mamamamamaaaaaa, mambo yaliharibika vuuuup!!! Hapa nlipo sina hata mia. Hii ndoto sio kabisaMkuu naomba tafsiri ya hii ndoto,niliota mfululizo"nilalapo ninaota nikiwa nina-paa au kuelea angani kwa kutumia mikono yangu kama mabawa na ninaenda umbali mrefu tu,lakini wakati huwo nikiwa angani naelekea bondeni,na hali ya ndoto ninakuwa nafuraha na nchi au maeneo ninayopita yana kijani kibichi ila ndoto inaishia nikiwa angani sielewi ninaposhukia na nikiamka naona kama kupaa nikitu nakiweza kawaida kama ilivyo kwenye ndoto.
Natanguliza shukrani.
mkuu sijamsimulia mtu ni kwamba humu hakuna anaenijua hata kwa sura jamii forum nzima .so hata mambo ya aibu tunakimbiliaga huku maana hatuaibiki si hawatujuiNgoja nikusaidie machache kuhusu suala hili.
Wajuzi wa kale na waadilifu walikuwa hawapendi kufasili ndoto,walikuwa unakuta akipelekewa ndoto 40 anafasili ndoto 2 au hafasili kabisa. Kuchelea majibu atakayo mpa muulizaji yakamuumiza au vipi.
Ndoto zimegawanyika makundi makuu mawili.
1. Zinazo toka kwa Mola muumba,hizi zina tabia nyingi ila nakutajia hizi mbili kuu :
(a). Hazitishi wala hazikupi hofu
(b). Ukiamka unakumbuka kila kitu katika ndoto hiyo uliyoota.
2. Hizi ni zile ambazo zinatoka kwa shetani. Hizi tabia zake ni kinyume ya hizo tabia nilizo taja hapo juu.
Nani unayepaswa kumhadithia ndoto zako ?
Si kila mtu unapaswa kumuhadithia ndoto zako,hili wengi hawalijui wenye sifa ya kuhadithiwa ndoto zako ni hawa :
1. Wakweli ambao si washirikina (hapa wanatoka wale wote wanao jitangaza ya kuwa ni Wanatafsiri Ndoto,hawa ni matapeli).
2. Vipenzi vyako,yaani wale ambao unajia kabisa hawa wanakupenda kwa dhati.
3. Wajuzi wa elimu ya ndoto ambao ni wachache sana,na humu jf hakuna. Sababu wanakosa vigezo vya utafsiri ndoto.
Angalizo
Lililo kuwa bora zaidi usiwe mtu kuhadithia ndoto unazo ota,sababu haodhuru. Kama unaona zinakutisha sana omba msaada kwa Mola wako,kisha ishi maisha yako. Kuliko kwenda kwa Washirikina na kuwatapeli na kuwaotezea muda.
Siku nikipata wasaa,nitakuja kuelezea hakika na ukweli kuhusu ndoto na yale yote yahusuyo ndoto.
Sasa weka akilini hili,ndoto si katika mambo yanayo pendeza kusimuliwa.mkuu sijamsimulia mtu ni kwamba humu hakuna anaenijua hata kwa sura jamii forum nzima .so hata mambo ya aibu tunakimbiliaga huku maana hatuaibiki si hawatujui
Mkuu nimeliweka akilini kabisa .mungu akubarikiSasa weka akilini hili,ndoto si katika mambo yanayo pendeza kusimuliwa.
Tuko pamoja.Mkuu nimeliweka akilini kabisa .mungu akubariki
Tuko pamoja.
Ujinga wa watu unawapa ulaji washirikina na matapeli,wanadanganywa na wanao jiita Watafsiri ndoto. Wenye kutafsiri ndoto hawajitangazi.