Ndoto ukifanya mapenzi na mtu UNAYEMJUA, Tafsiri yake

Umeokoka ?
 
Je kama ulikua na mpenzi, ambaye hamjawa public , huyo mpenzi akafariki na ukaota una fanya naye mapenzi ina maana gani?
 
Je kama ulikua na mpenzi, ambaye hamjawa public , huyo mpenzi akafariki na ukaota una fanya naye mapenzi ina maana gani?
Tafsiri hii nimetoa ni kwa wale ambao ni wakristo wa kweli.

Kama wewe ni mkristo.
Kuna kitu umemkosea na kinahitaji Toba.
Kama sio mkristo.
Inawezekana ikawa jini mahaba.
 
Mimi ndoto zangu hata huwa hazieleweki na hazisimuliki. Hazina muendelezo unaoeleweka ni vipande vipande visivyokumbukika wala kueleweka.

Mara unaota upo darasani unapiga story, story zimenoga hapohapo upo sebleni unapiga story na watu wanabadilikabadilika kila muda kulingana na story. Hapohapo ndoto imebadilika kabisa upo kucheza mpira, mara umekua refa hapohapo upo wapi na wapi yaani unrelated stories.
 
ukisema hivi Ndugu wakristo watakushangaa, Mafunuo wengi na taarifa nyingi watu walipokea kupitia ndoto.

Ndoto ya Mfalme Nebukadreza zote zilikua na ujumbe, Ndoto za Daniel, Ndoto nyingi sanaa.
Kwani hakuna mambo mengi duniani yamefanywa Kwa kuwaza tu
 
Kwa mfano uliosema huwa ni kweli ukiwa na true love huwa unaletewa matukio juu ya huyo uliyenaye akiwa anakucheat so ni wewe chaguo lako
 
Chunguza maisha vizuri nje ya ndoto,ni harakati zipi za maisha huwa unazifanya na kuzikamilisha?

Kuota uko darasani huku ulishamaliza shule maana yake ni kwamba maisha yako yamerudishwa nyuma (unakwamishwa).

Una mipango ila haieleweki imezongwa na mambo mengi yasiyokamilika.
 
Duh! Hapa na mimi pananihusu kuna muda naota nipo darasani tena najiandaa kufanya mitiani sasa najikuta naota mambo ya shule baada ya hapo najikuta nimeshtuka tayari yani sio powa kabisa.
 
Duh! Hapa na mimi pananihusu kuna muda naota nipo darasani tena najiandaa kufanya mitiani sasa najikuta naota mambo ya shule baada ya hapo najikuta nimeshtuka tayari yani sio powa kabisa.
Chukua hatua kuna mambo yako hayakamiliki kwasababu yamewekewa vikwazo (mitihani).

Na hivyo vikwazo vipo vya muda mrefu wakati ungali mdogo (yaani kipindi cha kuwa shule wakati ulishamaliza).
 
Chukua hatua kuna mambo yako hayakamiliki kwasababu yamewekewa vikwazo (mitihani).

Na hivyo vikwazo vipo vya muda mrefu wakati ungali mdogo (yaani kipindi cha kuwa shule wakati ulishamaliza).
Hata mimi nlikua naota ndoto za namna hiyo, ila ndoto ya mwisho nliota nafundisha darasa je hii ina maana gani ?
 
Chukua hatua kuna mambo yako hayakamiliki kwasababu yamewekewa vikwazo (mitihani).

Na hivyo vikwazo vipo vya muda mrefu wakati ungali mdogo (yaani kipindi cha kuwa shule wakati ulishamaliza).
usidanganye watu, kuota mazingira ya shule ina maana zaidi ya moja.
sio zote humaanisha stagnation..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…