Wewe unaweza ona ni vitu average sababu umepita huko. Kuwa na gari ni moja ya ndoto ya binadamu hata kama analo tayari bado huwa wanakua na dream car. Na sio wabongo hata wazungu saizi wengi ukiwaskia dream zao ni kuwa na magari yanayotumia umeme na wengine ndoto kubwa ni kununua Tesla na yale ma cybertruck.Ili uje ulete mabadiliko chanya nchini? Hizi ndio ndoto. Sio kuota kununua Crown. Wtf
Ndio hivyo, hayo ndio mahitaji makuu ya binadamu. Kwanza neno 'kibongobongo' liondoe hapo. Hayo ni mahitaji ya dunia nzima. Kwani wewe ulitaka nini cha zaidi? Au ulitaka ujiongeze uwe shoga?Kwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
Baada ya hapo kinachofuata ni kuwaza starehe(pombe na ngono- kwa most men).Kwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
Gari,nyumba ni basic needs. Mleta mada hajazungumzia Bugatti au nyumba kama ya Rick Ross. Kasema kagari ka kiushkaji hata nyumba kasema ukiweza hata kupanga. Hizi ni basics.Wewe unaweza ona ni vitu average sababu umepita huko. Kuwa na gari ni moja ya ndoto ya binadamu hata kama analo tayari bado huwa wanakua na dream car. Na sio wabongo hata wazungu saizi wengi ukiwaskia dream zao ni kuwa na magari yanayotumia umeme na wengine ndoto kubwa ni kununua Tesla na yale ma cybertruck.
So usione ndoto za mtu kununua crown bongo kama ni ufala..ni levels tu za maisha
Umaskini ukichanganya kukosa exposure ni combination mbaya mno.Very true. Lakini hii sio sababu ya kukufanya uwe na ndoto basic. It's sad mpaka leo tuna dream basic needs.
Noma sana 🤣Siyo kuwa na demu mwenye makalio makubwa?
Ni basics ndio ila sio wote wako blessed nazo, na wanatamani siku wazitimize ili waonekane nao wanaishi. Kuna watu wanajenga nyumba inaisha upande mmoja anahamia na bado watu wanamtamani...😊Gari,nyumba ni basic needs. Mleta mada hajazungumzia Bugatti au nyumba kama ya Rick Ross. Kasema kagari ka kiushkaji hata nyumba kasema ukiweza hata kupanga. Hizi ni basics.
Bora uishie kuota hivo kuliko kuuota utajiri maana ni mateso na mahangaiko makali japo tumepata baadhi ya vituKwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
Ni kweli brooo afu weng tunaishi maisha ya kufikilika.Kwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
Ni mateso yapi hayo?Bora uishie kuota hivo kuliko kuuota utajiri maana ni mateso na mahangaiko makali japo tumepata baadhi ya vitu
Tunaongea lugha tofauti.Ni basics ndio ila sio wote wako blessed nazo, na wanatamani siku wazitimize ili waonekane nao wanaishi. Kuna watu wanajenga nyumba inaisha upande mmoja anahamia na bado watu wanamtamani...😊
Unamjua huyu mwanariadha wa Kenya anaitwa Kiptum alovunja rekodi ya mbio za km 42 na alipanga awe mtu wa kwanza kukimbia chini ya masaa mawili kwenye marathon ya April? Kafariki kwenye ajali ya gari juzi na kocha wake..ndoto yake ilikua kujengea familia yake nyumba na amefariki kabla hata hajajenga na sasa familia inahaha serikali iwasaidie. Kaacha legacy kubwa kwenye mbio na dunia inamtambua maana vyombo vyote vikubwa vya habari duniani vimetangaza habari ya kifo chake,lakini pamoja na hiyo achievement kaiacha familia kwenye hali mbaya. Tusidharau ndoto za basic needs.
Kwa hiyo kumiliki gari na nyumba tayari ushakuwa tajiri?Watu wote wawe matajiri??? We uliona wapi
Kutoridhika na mafanikio unayoyapata huambatana na maumivu makubwa sanaNi mateso yapi hayo?
Moja ya kutoka Kila Bara.Kama nchi gani Mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kwenda mbinguni baaasi...
ila huwezi walaumu, maisha ni magumu sana