Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

ngozi nyeusi tulilaaniwa na mizimu 😂😂 unakuta mtu anaweza kuendeleza vya home ila kwulimbukeni na ubinafsi anakwenda kusota ili aseme alikomaa akapata kitu fulani wakati hicho hicho angelata akiwa home na mambo yakanyooka....
Tatizo sio kuendeleza vya home ila unaendeleza na nani. Wakati wenzetu wakiweka mipango kuendeleza generational wealth, huku kwetu bado tuna mentality ya baba akifariki kila mtu aondoke na chake. Hivyo ni bora upush cha nyumbani ila usisahau kuwa na cha jasho lako maana ngozi nyeusi tunajijua

Na kingine wazazi wetu hawatufundishi nidhamu ya pesa wala aggressiveness waliyonayo kwa kutupa maisha comfortable. Ila kama mtoto akianzisha hustle zake mwenyewe na akapata push ya kukuza mtaji mbeleni, chances za kutoboa ni kubwa maana biashara anaijua
 
Utaanzaje kuwaza kuwa na Kiwanda ikiwa umezaliwa nyumba ya kupanga mpaka unakuwa ni kulala kwenye makochi huku wenzio wanazaliwa baba mkubwa anamiliki Kiwanda cha nondo na mabomba, baba ni contractor mkubwa anaekula tender za serekali kila mwaka. Baba mdogo ana kampuni ya Transport and Logistics malori ni kibao yanaenda Transit Congo, Mengine Zambia. Mjomba ni Waziri wa viwanda na uchukuzi. Hapo kuwa maskini ni kupenda wewe tu.
Hata ukipenda kuwa maskini kwa hali hiyo ya kimaisha huwi, labda uwe chizi.
 
Mtaji sio tatizo sababu mtaji wa kwanza ni wewe mwenyewe kuwa mzima wa afya

Hii nchi kwa sasa shida ipo kwenye elimu inayotolewa mashuleni haiendani na kasi ya ukuaji wa technologia dunia kwa sasa inahitaji watu wanaotumia zaidi maarifa kuliko nguvu

Wenzetu wanaandaa mpango kupunguza masaa ya kufanya kazi sababu wameshagundua kufanya kazi masaa mengi hakuleti matokeo makubwa
Hahahahahaha kumbe mtaji ni afya tu kiongozi. Unaonekana unatokea familia ya Msoga wewe.
 
Kimsingi kuna watu wameamua kuchagua kupata matokeo kabla ya kufikiria kufikia malengo sio kosa lao kufikia malengo kunahitaji watu wenye maarifa na elimu
Ukiwa USA hayo mambo yana mantiki sana ila sio Bongo. Huku hapafai kuishi kiutaratibu maana ukuaji wa maisha yetu yanategemea sana ujanja ujanja. Unaweza kuwa na elimu kubwa sana na usipate nafasi😂
 
Kwa Tanzania sina uhakika kwamba kumiliki gari ni basic need, bado hatujafikia huko maana idadi ya watanzania wanaomiliki gari(gari za mtumba, maana mpya ni % ndogo wanaweza) ni ndogo sana.
Kuna watu milo mitatu hawamudu lakini hii haiondoi fact kuwa kula ni basic need.
Zamani usafiri ulikuwa luxury lakini sasa hivi usafiri ni kitu basic. Whether you or majority can afford it or not.
 
😂😂😂😂😂😂
Ni hatari nna classmate kazaliwa zipo ajira hataki licha ya connection ya uhakika alitaka akaze mwenyewe atoboe bila msaada wa nyumbani, akaenda kuajiriwa kwa mhindi mmoja akapigika mbaya baada ya kufanya kazi, mshahara miez 4 hajalipwa na ni kiduchu, mzee wake akawa anamzoom tu mwshowe jamaa akarudisha mpira kwa kipa akanyoosha mikono juu.
Mzee akamfungulia biashara mtaji 50m, alikua anajilaum sana.

Unataka hustling wakati nyumbani mtaji upo, ni uchizi.
 
Ni hatari nna classmate kazaliwa zipo ajira hataki licha ya connection ya uhakika alitaka akaze mwenyewe atoboe bila msaada wa nyumbani, akaenda kuajiriwa kwa mhindi mmoja akapigika mbaya baada ya kufanya kazi, mshahara miez 4 hajalipwa na ni kiduchu, mzee wake akawa anamzoom tu mwshowe jamaa akarudisha mpira kwa kipa akanyoosha mikono juu.
Mzee akamfungulia biashara mtaji 50m, alikua anajilaum sana.

Unataka hustling wakati nyumbani mtaji upo, ni uchizi.
Hahahahaha si dogo alitaka aonekane hero 😂😂😂 atakuwa kajifunza kitu
 
Ni ngumu sana kuwa masikini kwenye familia ya kitajiri kama ilivyo ngumu kwa masikini kuwa tajiri.
Kuna vichwa vya watoto wa kitajiri vimeshindikana labda tu hujapata bahati kujuana nao au kuwasikia.

Kuna wengine wanakula unga, kuna wengi wanaiba wanakimbilia nje, wengine walevi na hawana time ya kufanya kazi

Ila kimoja ulichosema. Mtoto ambaye kwao kuna connection hata akiwa na ubongo wa kusoma nusu kijiko na akatoboa hadi chuo. Kufanikiwa ni nje nje
 
ngozi nyeusi tulilaaniwa na mizimu 😂😂 unakuta mtu anaweza kuendeleza vya home ila kwulimbukeni na ubinafsi anakwenda kusota ili aseme alikomaa akapata kitu fulani wakati hicho hicho angelata akiwa home na mambo yakanyooka....
Inashangaza anahangaika kutafuta ajira wakati nyumbani kwake Unakuta Mzazi mswahiki ana Malori na mabosi kibao na biashara kibao anahangaika kuanza upya maisha kama mtoto wa maskini kutafuta ajira
 
Kujilinganisha na Wahindi ni UZUZU mwingine.

Mhindi Kwanza hahitaji mtaji kuanzisha biashara hata kubwa kunwa.

Mhindi akiweza kulipa Kodi ya frame, mzigo anaweza kuchukua Sayona, Metl, Murzal au Jambo.

Anachofanya ni kuuza na kuchukua faida tu baada ya mauzo.

Wewe takataka hakuna anayekwamini kwanza
Maskini Huwa hawaaminiani Wala kukopeshana sema baadhi Mimi sitoki kundi la maskini

Kutana hata na waswahili matajiri Kwa matajiri waweza chukua Mali kwake bila mtaji ukalipa ukiuza kama ni Tajiri mwenzie
Waswahili shida Umaskini mwingi hata mabenki huogopa kuwakopesha


Hata Biblia inatambua Hilo kuwa ukimkopesha maskini Hesabu tu kuwa umemkopesha Mungu uwezekano wa kukulupa haupo

Kitabu Cha Kutoka 22:25
Ukimkopesha mtu aliye maskini, katika watu wangu walio pamoja nawe; usiwe kwake mfano wa mwenye kumdai; wala hutamwandikia faida.
 
Back
Top Bottom